Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kenya’s economic performance strengthened in 2023 with the GDP accelerating to about 5.4 per cent from 4.8 per cent in 2022. This is according to the latest edition of Kenya Economic Update by...
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Nairobi, Kenya. Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya...
0 Reactions
2 Replies
551 Views
https://twitter.com/i/status/1746907867066597832
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kenya railways has been a SOE(State owned enterprise) that has been making huge losses over the last several decades. This culminated with the company making a huge operating loss of close to KSHS...
1 Reactions
0 Replies
842 Views
Mahakama ya Kupambana na Rushwa iliyosimamiwa na Mheshimiwa Esther Asiimwe jana ilimweka Stephen Kipkyen Tarus, ambaye pia ni aliyekuwa Mbunge nchini Kenya, rumande katika gereza la Luzira kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maaskari wanakutana na changamoto nyingi sana kwenye kutekeleza majukumu yao ya kilasiku. Hili ni moja ya tukio la kuogofya lililompata askari akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kulinda...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu hii imekaaje? Ni sahihi mwalimu kufukuzwa? Je, tatizo ni mwalimu au wanafunzi? Karibuni.
1 Reactions
13 Replies
710 Views
Maurine Anyango ambaye ni mwanamke mwenye umri wa miaka 32 anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Oyugis katika kaunti ndogo ya Rachuonyo Kusini nchini Kenya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
KENYA: Jaji Mkuu, Martha Koome amemwambia Rais William Ruto aweke wazi ushahidi unaoonesha namna Mhimili wa Mahakama unavyotumika kwa Rushwa katika kuzorotesha juhudu za Serikali na akiweza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hakika Naipongeza Mahakama za Kenya kwa Uamuzi wake wa kukataa Kubinafsishwa kwa Bandari ya Mombasa kulikotaka kufanywa na Serikali.Uamuzi huo Umeikasirisha sana Serikali ya Kenya Kwanza na...
0 Reactions
9 Replies
764 Views
Baada ya Rais wa Kenya, William Ruto kushutumu Mahakama katika Kitengo cha Sheria cha Serikali akidai kuna ufisadi na majaribio ya makusudi ya kukwamisha miradi muhimu ya Serikali, Jaji Mkuu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Viongozi wa Kisiasa Kenya akiwemo Katibu Mkuu wa Jubilee, Jeremiah Ngayu Kioni awanadai Rais William Ruto ana njama ya kupunguza ukali wa kitengo cha Mahakama ili apitishe Sheria zinazokiuka...
1 Reactions
2 Replies
714 Views
NHIF Kenya yapoteza shilingi Billion 20 Kupitia malipo yanayotokana madai hewa ya Wateja wake Wadau hamjamboni nyote? Taarifa ya ufisadi wa kutisha nchini Kenya kupitia mfuko wa Taifa wa Bima...
1 Reactions
3 Replies
608 Views
Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu 21 wanashikiliwa baada ya Polisi, Maafisa wa Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni ya Kupambana na Matumizi Mabaya ya Pombe na Madawa ya Kulevya (NACADA), na Wanahabari kuvamia Baa ya Kettle House na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Polisi wa kaunti ya Kericho nchini Kenya wako katika uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kutoka eneo hilo aliyedaiwa kumuua mkewe, kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe. Tovuti ya NTV...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom