Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida...
1 Reactions
2 Replies
543 Views
KENYA: Rais William Ruto amependekeza Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ili nimeliona kwenye Mtandao ambapo mchungaji mkubwa kutoka AMERICA ameendisha crusade kubwa sana ya kuombea Taifa ambapo Rais wa nchi hiyo na Mkewe pamoja na Makamu wake wa Rais waliudhuria Kuna...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Kenya mpo ,Tanzania rasmi ndani ya Afrika imepeleka timu kubwa mbili toka Derby ya kariakoo yaani Young Africans na Simba Kuna wakati lazima usemwe Tanzania ndio Giant ya mpira kwa sasa Africa...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Rais Ruto amesema kuwa Kenya inakusudia kuendelea na mipango ya kuongoza misafara ya usalama iliyoidhinishwa na Umoja wa Mataifa kwenda Haiti, licha ya mahakama mjini Nairobi kuzuia kupelekwa kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema kutahiriwa siyo lazima. Eti kwani Mungu hakukosea kuweka ile ngozi maana ina umuhimu wake. Je yupo sahihi? Ebu tujadili
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Akizungumza katika Mkutano wa Wabunge wa Chama Tawala na Mawaziri, Rais William Ruto amewaonya Vikali Wabunge 'Wavivu' akiwashutumu kwa kutokuwepo katika Majimbo yao ambapo Serikali inatekeleza...
0 Reactions
4 Replies
694 Views
Baadhi ya maeneo ya Mji wa Nairobi yanatarajiwa kukosa maji siku ya Jumatano na Alhamisi kutokana na kufungwa kwa bomba la maji kutoka Bwawa la Gigiri kwenda Bwawa la Karura - Barabara ya Outer...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Mwanachama wa ujumbe wa Kenya uliokuwa ukitembelea Washington alipatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli mapema wiki hii, maafisa wa Marekani na vyombo vya sheria walithibitisha Alhamisi...
0 Reactions
7 Replies
984 Views
KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
MONDAY 15TH AUGUST 1640Hrs We have intelligence reports that their system was penetrated and hacked and that some of the IEBC officials actually committed electoral offences and some of them...
10 Reactions
4K Replies
350K Views
Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukiuliza wananchi ambao wako bize kusifia nchi jirani, basi ni watanzania, yuko tayari asifie Rwanda, Uganda na kila mahali, lakini yuko tayari kudharau nchi yake. Haya sasa, hata Kenya matatizo...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
"Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta...
4 Reactions
6 Replies
767 Views
Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Waziri mmoja wa Kenya amesema wameamua kuwashughulikia Vyeti Feki kama ilivyofanya Serikali ya Tanzania ila wao wataenda mbele zaidi kwa kuwafikisha mahakamani na kufungwa pamoja na kulipa fidia...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali. Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo...
0 Reactions
5 Replies
982 Views
MWALIMU wa shule ya sekondari kutoka kijiji cha Nthangathiri, Kaunti ya Embu, alijitia kitanzi ndani ya nyumba yake baada ya mpenzi wake wa pembeni kumtema. Marehemu aliyetambulishwa na polisi...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na maafisa wa polisi. Tukio hilo limetokea...
0 Reactions
6 Replies
640 Views
Back
Top Bottom