Rais Ruto aunda Timu ya Kampeni ya Raila huko AU!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza

Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa Kenya Kwanza na Raila kinara wa Azimio wameunda Timu ya Kampeni kuhakikisha Odinga anakuwa Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Africa

Ndani ya Timu ya Kampeni yumo Obasanjo wa Nigeria

Bongo sijui tunafeli Wapi, ngoja tuone Timu ya naniliu kama Chadema wamo 😀😀
 
Salama ya Urais wa Ruto ni Odinga kuondoka kwenye Siasa za Kenya.

Kwahiyo Ruto anafanya hivyo Kwa maslahi yake.
 
Hata Rutto hajaanza kirahisi hivyo. Maana awali Raila Odinga alikuwa BALOZI maalum wa miundombinu wa AU wakati wa Uhuru Kenyatta.

Alipohudhuria ule mkutano wa kwanza wa AU mwaka 2022 akamsagia kunguni na hatimaye Raila aliondolewa.

Hii ya kumsapoti imetokana na kujisahihihisha makosa kwa Rutto. Kimsingi Rutto na Magufuli wanafanana mengi tofauti ni kwamba angalao Rutto ni msikivu, ana uwezo wankujisahihisha
 
Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza

Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa Kenya Kwanza na Raila kinara wa Azimio wameunda Timu ya Kampeni kuhakikisha Odinga anakuwa Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Africa

Ndani ya Timu ya Kampeni yumo Obasanjo wa Nigeria

Bongo sijui tunafeli Wapi, ngoja tuone Timu ya naniliu kama Chadema wamo 😀😀
 
Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza

Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa Kenya Kwanza na Raila kinara wa Azimio wameunda Timu ya Kampeni kuhakikisha Odinga anakuwa Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Africa

Ndani ya Timu ya Kampeni yumo Obasanjo wa Nigeria

Bongo sijui tunafeli Wapi, ngoja tuone Timu ya naniliu kama Chadema wamo
Ni kwa mjinga kama wewe pekee ndie huwezi kujua kwamba Ruto anafurahia Raila akiondoka kwenye siasa za Kenya ndio itakuwa ahueni kwake!
Pressure ya Raila na Azimio la umoja kuhusu server za uchaguzi ni kubwa na linamnyima usingizi Ruto na anazidi kukonda.
Magufuli alijua wabaya wake na ndio walikuwa wakinuwia kutumiza kile walichokifurahia!
Tunalijua hilo!
Siasa za wakenya waachieni wenyewe!
Jiulize kwa nini hawa waliuawa na system huko huko unapopasifia.
JM kariuki.
Thom Mboya.
Robert Ouko.
Masinde Murilo.
Keneth Matiba.
Jacob Juma.
Kalonzo Mutua sr.
Bila kumsahau yule Bwana Msando msimamizi wa IT wa uchaguzi alieuawa ili kidole chake kikakatwa kwenda kufungulia server systems za uchaguzi.

Msiwe mbashobokea vitu msivyo na ufahamu navyo.
 
Salama ya Urais wa Ruto ni Odinga kuondoka kwenye Siasa za Kenya.

Kwahiyo Ruto anafanya hivyo Kwa maslahi yake.
Kenya huijui. Kwenye maslahi ya taifa, siku zote wanaweka tofauti za nyumbani kando! Ruto juzi kateuliwa kuwa champion wa reforms za AU (kachukua nafasi toka kwa Kagame). Ingawa personally sioni jipya kwa Raila, lakini hii nafasi anaweza kuipata. Na utaona wakenya watakavyofaidika na fursa za AU. Kenya wako vizuri sana kwenye kusaka fursa za nje.

Ukweli usemwe waTanzania wengi bado sisi ni washamba na wabinafsi-especially viongozi wetu. Bado tunaamini siasa au tofauti ya mawazo ni uadui. Nakumbuka Jiwe siyo tuu alimbania Membe, huko Commonwealth. Aliwabania pia Dr. Likwelile na mama Mulamula huko African Union. Ingawa walikuwa na chance ya kupata hizo nafasi.

Kwa sasa hivi sijui mama ana mikakati gani tupate Katibu Mkuu wa Commonwealth kwenye uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni. Ingebidi sasa hivi tuwe tunafanya campaign za kutosha!

Watanzania linapokuja swala la fursa za nje, tubadilike, tushikane mikono. As long as mtu ana vigezo, tumpambanie kadri ya uwezo wetu.
 
Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza

Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa Kenya Kwanza na Raila kinara wa Azimio wameunda Timu ya Kampeni kuhakikisha Odinga anakuwa Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Africa

Ndani ya Timu ya Kampeni yumo Obasanjo wa Nigeria

Bongo sijui tunafeli Wapi, ngoja tuone Timu ya naniliu kama Chadema wamo 😀😀
Ruto anataka kupata pumzi. Raila anamnyima raha Ruto kiupinzani
 
K
Ni kwa mjinga kama wewe pekee ndie huwezi kujua kwamba Ruto anafurahia Raila akiondoka kwenye siasa za Kenya ndio itakuwa ahueni kwake!
Pressure ya Raila na Azimio la umoja kuhusu server za uchaguzi ni kubwa na linamnyima usingizi Ruto na anazidi kukonda.
Magufuli alijua wabaya wake na ndio walikuwa wakinuwia kutumiza kile walichokifurahia!
Tunalijua hilo!
Siasa za wakenya waachieni wenyewe!
Jiulize kwa nini hawa waliuawa na system huko huko unapopasifia.
JM kariuki.
Thom Mboya.
Robert Ouko.
Masinde Murilo.
Keneth Matiba.
Jacob Juma.
Kalonzo Mutua sr.
Bila kumsahau yule Bwana Msando msimamizi wa IT wa uchaguzi alieuawa ili kidole chake kikakatwa kwenda kufungulia server systems za uchaguzi.

Msiwe mbashobokea vitu msivyo na ufahamu navyo.
Kwamba hicho kicheo cha kufanyia kwa msimu ata ukiwa nyumbani ndo imwondoe Odinga kwenye siasa za Kenya? Kubali tu kuwa Magufuli alikuwa na rohoo mbaya, sisi tulioishi nae karibu na tena kwake tunamjua zaidi.
Ukitaka kujua rohoo mbaya ya kikatili ya Marehemu Magufuli kamuulize Mdogo wake Goro na mdogo wake wa kike wapo kule Chato.
 
Kenya huijui. Kwenye maslahi ya taifa, siku zote wanaweka tofauti za nyumbani kando! Ruto juzi kateuliwa kuwa champion wa reforms za AU (kachukua nafasi toka kwa Kagame). Ingawa personally sioni jipya kwa Raila, lakini hii nafasi anaweza kuipata. Na utaona wakenya watakavyofaidika na fursa za AU. Kenya wako vizuri sana kwenye kusaka fursa za nje.

Ukweli usemwe waTanzania wengi bado sisi ni washamba na wabinafsi-especially viongozi wetu. Bado tunaamini siasa au tofauti ya mawazo ni uadui. Nakumbuka Jiwe siyo tuu alimbania Membe, huko Commonwealth. Aliwabania pia Dr. Likwelile na mama Mulamula huko African Union. Ingawa walikuwa na chance ya kupata hizo nafasi.

Kwa sasa hivi sijui mama ana mikakati gani tupate Katibu Mkuu wa Commonwealth kwenye uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni. Ingebidi sasa hivi tuwe tunafanya campaign za kutosha!

Watanzania linapokuja swala la fursa za nje, tubadilike, tushikane mikono. As long as mtu ana vigezo, tumpambanie kadri ya uwezo wetu.
AU wana fursa gani muhimu ambazo Kenya watapata mkuu?
 
K

Kwamba hicho kicheo cha kufanyia kwa msimu ata ukiwa nyumbani ndo imwondoe Odinga kwenye siasa za Kenya? Kubali tu kuwa Magufuli alikuwa na rohoo mbaya, sisi tulioishi nae karibu na tena kwake tunamjua zaidi.
Ukitaka kujua rohoo mbaya ya kikatili ya Marehemu Magufuli kamuulize Mdogo wake Goro na mdogo wake wa kike wapo kule Chato.
Wasukuma wanaelewa basii
 
Back
Top Bottom