Odinga asema kutahiriwa siyo lazima, apendekeza watu wabakie na ngozi zao

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema kutahiriwa siyo lazima.

Eti kwani Mungu hakukosea kuweka ile ngozi maana ina umuhimu wake.

Je yupo sahihi?
Ebu tujadili
 
Kutahiriwa au kutokutahiriwa ni Mila na Imani tuu. Hazina impact yoyote kwenye Maisha. Wapo waliotahiriwa ni Maskini wa kutupwa wapo ambao hawajatahiriwa ni Matajiri wa kutupwa na wanaishia Maisha marefu na bora
 
Kiukweli Kuna madhara makubwa kuliko tunavyo fikiri mzungu hanaga kitu kinaitwa bule
Tohara Ina punguza ukubwa wa uume/,tohara inapunguza uwezo wa mtu kudum kwenye tendo la ndoa,tohara inapunguza Radha ya tendo kwa mwanaume,tohara ndiyo chanzo cha kibamia

Hayo mengine ni ushamba tuu
 
Mkuu Kuna jamii za kiafrika wanatahiriwa kienyeji kabla ya wakoloni hapa unasemaje.
Pia mtu akitahiriwa akishakuwa mkubwa around 17+ nadhani suala la uume mdogo halipo.

Kama vipi njoo uicheki ya kwangu uone Kama hii research yako Ni valid labda naweza sema sensitivity kwanza inaongezeka Mana nje Kuna baridi tofauti ingekuwa ndani ya mfuko so Ile kugusana na uke joto sensitivity iko juu
 
Amini unavyo amini Ila ukweli ndiyo huo mkuu

Na kuhusu hiyo ya kwako itume hapa kwa picha tuione tafadhari😅😅
 
Kiukweli Kuna madhara makubwa kuliko tunavyo fikiri mzungu hanaga kitu kinaitwa bule
Tohara Ina punguza ukubwa wa uume/,tohara inapunguza uwezo wa mtu kudum kwenye tendo la ndoa,tohara inapunguza Radha ya tendo kwa mwanaume,tohara ndiyo chanzo cha kibamia

Hayo mengine ni ushamba tuu
Kwani tohara alileta mzungu??
 
Mkuu Kuna jamii za kiafrika wanatahiriwa kienyeji kabla ya wakoloni hapa unasemaje.
Pia mtu akitahiriwa akishakuwa mkubwa around 17+ nadhani suala la uume mdogo halipo.

Kama vipi njoo uicheki ya kwangu uone Kama hii research yako Ni valid labda naweza sema sensitivity kwanza inaongezeka Mana nje Kuna baridi tofauti ingekuwa ndani ya mfuko so Ile kugusana na uke joto sensitivity iko juu

Kwani tohara alileta mzungu??
Kuna sehem nimeandika ililetwa na mzingu boss Wang? Aukwasababu nimeandika mzungu hanaga kitu Cha bule?

Kama umenielewa hivyo Basi nilikuwa namaanisha tohara inatolewa bule na serikali kwa msaada wa watu wa marekani/USAIDs
 
Jirani zetu wanaume wengi hawajafanya hii kitu na sijui ni kwa nini!

Ni wamasai labda na Wameru wapo makini na hili jambo..
 
Hii pia ni fact kuonesha Mungu hayupo.

Kama kazi ya Mungu haina makosa kwanini kukata govi ndio option ya kumfanya mwanaume awe bora zaidi?
 
Back
Top Bottom