Rais Ruto awaonya Wabunge Wavivu, awataka Wawajibike katika Majimbo yao

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Akizungumza katika Mkutano wa Wabunge wa Chama Tawala na Mawaziri, Rais William Ruto amewaonya Vikali Wabunge 'Wavivu' akiwashutumu kwa kutokuwepo katika Majimbo yao ambapo Serikali inatekeleza Miradi yake

Pia amewataka Mawaziri kuhudhuria Bunge pale tuu ambapo ni lazima kama wakati wa Kuonanisha Ajenda ya Bunge na ile ya Serikali, huku akiwataka kupata taarifa za Vikao vya Bunge kupitia Vyanzo vingine katika Wizara zao

Nchini Tanzania kumekuwa na Malalamiko ya Wananchi kuhusu Wabunge wao kujisahau baada ya Kuchaguliwa kwa kutokutembelea na kutatua kero za Wananchi wao hadi pale kipindi cha Uchaguzi kinapokaribia, ambapo hutoa ahadi nyingi na kutokomea tena

.......


The Kenya Kwanza government's first retreat of 2024 began on Monday, with legislators from the ruling United Democratic Alliance (UDA) and all cabinet secretaries joining.

President William Ruto, who chaired the joint parliamentary group meeting, took a swipe at the lawmakers, whom he accused of being absent in their constituencies where the government is undertaking its projects.

President Ruto called for a more responsible legislature that permits the executive to carry out its mandate, instructing MPs to call Cabinet Secretaries only when necessary, during the meeting to align parliament and the executive agenda.

Source: Citizen Digital
 
Itakua tu sio muongeaji ila wakenya ukienda nae Point kwa point unawaacha mbali sana..Kwanza ukabila kwao haujawahi kuisha(Kikuyu vs Jaruo Vs Somalia)..Pili kuhusu uchafu wa mji wao ndo wanaongoza tena uswazi ya Kenya ni balaa zile Slums zao ni mabati tupu.Mji mzuri ni Nairobi,Kusumu ukienda Eldoret ni majanga...Kiukweli wanachoringia ni kinge tu na thamani ya ksh mengine yote tupo sawa
hatuezi kuwa sawa babu... kenge ww
 
Nchini Tanzania kumekuwa na Malalamiko ya Wananchi kuhusu Wabunge wao kujisahau baada ya Kuchaguliwa kwa kutokutembelea na kutatua kero za Wananchi wao hadi pale kipindi cha Uchaguzi kinapokaribia, ambapo hutoa ahadi nyingi na kutokomea tena
Mnataka tutukane tuvalishe ban anyway huko ni huko na huku ni huku TANESCO wamesema hawatakata tena umeme Dar na ikitokea wamekata hata kidogo tukawachape fimbo kuanzia wakurugenzi mpaka vishoka
 
Back
Top Bottom