Wakenya tumewaacha sana kimpira,Yanga na Simba zipo quarter Final CAF championship

Kenya mpo ,Tanzania rasmi ndani ya Afrika imepeleka timu kubwa mbili toka Derby ya kariakoo yaani Young Africans na Simba

Kuna wakati lazima usemwe Tanzania ndio Giant ya mpira kwa sasa Africa

Ndugu zetu wakenya msione aibu kuja Dar es Salaam kujifunza mbinu

Hata wao kuna miaka walitamba sana na Gor Mahia ambayo ishawahi kubeba ndoo ya CAF Cup Winners (Kombe la Washindi) mwaka 87
 
Ila ujue tukiweka ushabiki kando, hiki ni kitendo chenye maana kubwa sana.
Imagine derby yetu bongo ni moja kati ya derby maarufu afrika, and yet timu zote zimetinga robo final kwa kinshindo kikubwa sana ,aisee, hii sio ya kubeza.
 
Kenya mpo ,Tanzania rasmi ndani ya Afrika imepeleka timu kubwa mbili toka Derby ya kariakoo yaani Young Africans na Simba

Kuna wakati lazima usemwe Tanzania ndio Giant ya mpira kwa sasa Africa

Ndugu zetu wakenya msione aibu kuja Dar es Salaam kujifunza mbinu

quarter Final CAF championship????​

Ila ujue tukiweka ushabiki kando, hiki ni kitendo chenye maana kubwa sana.
Imagine derby yetu bongo ni moja kati ya derby maarufu afrika, and yet timu zote zimetinga robo final kwa kinshindo kikubwa sana ,aisee, hii sio ya kubeza.
basi si mushinde kombe, sio kila mwaka mnakua wasindikizaji tu. hebu jitathmini
 
Back
Top Bottom