Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Shirika la ndege la taifa la Kenya, Kenya Airways, limeeleza kuwa limeandikisha faida ya uendeshaji mwaka wa 2023, faida yake ya kwanza katika miaka saba iliyopita. Kiwango cha bilioni 10.5 za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua. Swali linakuja kama intelligencia iko...
4 Reactions
10 Replies
905 Views
Ni mchungaji Paul Mackenzie wa nchini Kenya ambaye pia shambani Kwake walikutwa wamezikwa Waumini wake zaidi ya 400 Kinyume cha sheria --- Kenya court jails cult leader Mackenzie for one and half...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mahakama kuu ya Kenya imetangaza kwamba kifungo cha maisha ni kinyume cha katiba na kimeelezwa kuwa ni hukumu isiyo na mantiki wala usawa. Kwa mujibu wa Jaji Justice Nixon Sifuna, kumpa mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mapato Kenya (KRA) ilikusanya jumla ya Ksh 1.27 trilioni katika nusu ya kwanza ya mwaka wa kifedha 2023/24 ulioisha mwezi wa Desemba 2023. Data mpya kutoka Hazina ya Kitaifa inaonyesha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
PRESS STATEMENT: GOSPEL ARTISTE WILLIAM GETUMBE ARRESTED OVER INDECENT CONTENT The Kenya Film Classification Board (KFCB) through its North Rift Regional Office, Eldoret, and with the support of...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwanaume wa Kaunti ya Vihiga amekiri kumuua Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Kahongeri (43) kutokana na aliyemtuma kufanya mauaji kukataa kumlipa Ksh.20,000 (Tsh. 372,200). Mtuhumiwa ambaye...
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Shadrack Mwadime Serikali imeanzisha zoezi la kusafisha sekta ya makampuni binafsi za uwakala wa ajira kwa lengo la kufanya iwe na ufanisi zaidi, uwazi, na kuhudumia vizuri Wakenya wanaotafuta...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
New Covid Variant A new Covid-19 variant is in circulation in the country. Doctors say the new variant called JN1 and and Swine Flu
1 Reactions
7 Replies
847 Views
Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali. Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya...
1 Reactions
2 Replies
544 Views
KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata...
2 Reactions
6 Replies
827 Views
KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kenya imeamua kusitisha mipango ya kutuma maafisa wa polisi nchini Haiti iliyokumbwa na ghasia chini ya ujumbe wa kimataifa unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, afisa mmoja mwandamizi wa serikali...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Parliament has called for the formation of an inquiry to investigate how 133 applicants who are among individuals who applied for the position of Revenue Service Assistances (RSA) at the Kenya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeangalia katika taarifa ya habari hapa katika kituo kimoja cha kimataifa Nchi ya Kenya imeingia mkataba wa kupeleka askari wa jeshi sijajua ni police au military. Kwaajili ya kulinda amani...
2 Reactions
5 Replies
559 Views
Thirteen years since Kenya welcomed its first ever fibre optic cable, the country has now unveiled a sixth submarine internet cable that promises to offer higher speeds, lower latency and broader...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hatua hiyo inafuatia ongezeko la Kodi na Tozo mbalimbali zilizopitishwa kupitia Sheria mpya ya Fedha ya mwaka 2023, Sheria ambayo imelalamikiwa kuongeza mzigo wa gharama za maisha kwa Wananchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tukisema Kenya, ni, akili kubwa, tuwe tunaelewa, binti wa Raisi yupo anahojiwa Citizen, ni mjasiriamali katika kilimo, anafuga nyuki, analima, anasaidia vijana. Huku kwetu ni nadra Sana kusikia...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida...
1 Reactions
2 Replies
543 Views
Back
Top Bottom