Mtoto wa Rais Ruto kuombewa hadharani apate Mume wakenya mmefeli wapi? Au ulinzi unawafanya mshindwe?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Ili nimeliona kwenye Mtandao ambapo mchungaji mkubwa kutoka AMERICA ameendisha crusade kubwa sana ya kuombea Taifa ambapo Rais wa nchi hiyo na Mkewe pamoja na Makamu wake wa Rais waliudhuria

Kuna matukio mawili yamenishangaza

Kwanza ili la mtoto wa Rais kuomba aombewe apate Bwana yaani mume wakenya mnafeli wapi? Je, sisi Watanzania tunaruhusiwa kupropozi tuje tumowowe?

Tukio la Pili ni kitendo cha rafiki yangu Mkubwa na mchungaji mwenye mvuto mkubwa na anae pendwa sana nchini kenya kwa kufanya miujiza.

Naye kusukumwa kama " ZIGO LA NYA" Na kudondoka kama ZIGO na huyu bwana amekuwa akiongoz kwa kuwatoa watu mapepo sasa imekuaje nae atolewe PEPO?

Tukio la mwisho ni yule mchungaji Mwanaharakati kutoka Tanzania alie kuwa anapinga UJIO WA PASTOR BENNY nchini kenya

Kwa nini huyu mchungaji Mnishi(ikumbukwe tanzania alikimbia asipelekewe moto na Benjamini mkapa baada ya kumtusi na kuitusi ccm kwa kukiita chama hiki chama cha majambaziila inasemekana na yeye pia aliwaigi kuwa Jambazi).

Kwa nini anampinga mchungaji Benny kutoka Ulaya au ni wivu tu!
 
1708959629579.png

Si mzuri ana kipara kikubwa sana.
 
MKuu ungesoma taarifa ya binamu yake Benny Hinn ambaye kuna wakati alikuwa msaidizi wake na alikuwa pia wakiwa safarini alikuwa anatunza hela hata wewe ungeachana na Benny Hinn.. Huyo kijana amejiengua kutoka Benny Hinn na ana kanisa lake linzjitegemea sio branch ys Benny Hinn.

Huyu myahudi ana mvuto kama Temitope Balagoun Joshua ukimsems vibaya tu utakuta watu hawakuelewi.

Huyo kijana nadhsni anaitwa Cosby Hinn cheki youtube, siku hizi hatudanganyani.
 
Back
Top Bottom