KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Habarini Wandugu, Kwanza kabisa nichukue fursa hii kuwapongezeni wale wote wenye michango yenye tija kwa taifa letu. Niendelee na mada kwa kusema ya Kwamba Sisi Kama jamii yenye kuelewa nini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawasha moto wa madai ya kutaka Katiba mpya itakayokidhi matakwa ya wote. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano katika mahojiano...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nguvu zile zile na ari ile ile kwa kasi ile ile ya Operation Sangara iliyotumika kuhamasisha wananchi kujua haki na wajibu wao, sambamba na kufanya mabadiliko ya mfumo wa utawala, sasa itumike...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
JUSTICE ROBERT KISANGA: Constitution has outlived purpose ...SAYS THE COUNTRY'S PRINCIPAL LAW IS OLD AND OUTDATED Dar es Salaam A retired Court of Appeal judge, Dr. Robert Kisanga, has...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wa tz, amkeni tudai katiba mpya. Bila katiba tusitegemee mabadiliko yoyote ktk chaguzi zetu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Napenda kuwapongeza star TV kwa ubunifu walionao kwa kupenda kuweka vipindi vizuri na vinavyoleta tija katika taifa letu. Jana kulikuwa na kipindi kizuri sana kuhusu mjadala wa KATIBA MPYA. Me...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi na wataaalamu . Wanasiasa, wanasheria na watu wengi hivi sasa kilio chetu ni katiba mpya. Wengi tuna refelct mapungufu ya NEC kama pungufu mojawapo la katiba ya sasa.Naomba kuelimishwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wameanza kazi kwa kishindo ikiwa ni pamoja na kupokea maombi ya wananchi wanaotaka Katiba mpya. Wabunge hao: Mchungaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama tulivyoahidi wiki iliyopita, elimu ya ulazima wa Katiba mpya kwa Watanzania itatolewa kupitia mjadala huu hapo kesho kuanzia saa 1 na dk 3O asubuhi katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI. WanaJF...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Watanzania tuweke mambo yote pembeni, mawazo yetu yote yawe ktk kudai katiba mpya.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wadau, mimi ni miongoni mwa Wabongo wengi tu ambao hatujawahi kuioma katiba ya JMT. Ingawa naunga mkono hitaji la Katiba mpya na nina sababu za wazi zinazonisukuma kuunga mkono bila kufuata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Celina Kombani anacheza ngoma asiyoijua vyema...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Jamani nimeona siku za karibuni kuna watu ambao wamejiunga katika mbio za kutoa maoni kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya. Na wengi ya viongozi hawa ni wa CCM ambao siku zilizopita hawakuona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MTANDAO huru wa asasi za kiraia zilizojikita kufanya uangalizi wa Uchaguzi Mkuu Mkuu 2010 (TACCEO), umetoa ripoti kuhusu uchaguzi huo huku ukipendekeza mabadiliko ya katiba na kuundwa kwa tume...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"Many people are claiming and advocating for a new constitution, but most don't give reasons why? Why do you think we need a new constitution? or Major changes in the current constitution? What...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wananchi wasiburuzwe kudai Katiba mpya -Shivji Thursday, 09 December 2010 19:59 newsroom...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
The debate has began and its going on.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wengi wetu tunajua yaliyotokea huko ivory coast ambapo wagombea wa viti vya urais wawili wote wanadai wameshinda uchaguzi mkuu na kila mmoja kujitangazia waziri wake mkuu,naomba tujadili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SIKU chache baada ya Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Cellina Kambani kuseam hakuna haja ya kuwa na katiba moya, Jaji Mkuu Mstaafu, Mark Bomani amesema kinachoisumbua serikali ya CCM ni uwoga...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Upi uhuru kamili 1961 Uhuru wa Tanganyika au Tanzania? Hivi kila siku hawa chadema wanataka au wanadai mabadiliko ya 10 ya katiba ya zanzibar yanapinda katiba ya Tanzania hawa wanaonekana hawana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom