LUKAZA
Senior Member
- Nov 30, 2010
- 140
- 70
Upi uhuru kamili 1961 Uhuru wa Tanganyika au Tanzania?
Hivi kila siku hawa chadema wanataka au wanadai mabadiliko ya 10 ya katiba ya zanzibar yanapinda katiba ya Tanzania hawa wanaonekana hawana ufahamu mziri hivi unataka kukata kileleni wakati umekaa chini afanaleke
hivi ukiwaona wanachadema kujizuga kwa suti za kutuzuga wananchi kutupotezea muda watu hawana chochote wakitakacho bali tuwaone wema tu kumbe ni chui aliyevaa ngozi ya kondoo sawa sawa na wanyanganyi wengine lakini cha kuwa mbia ni kuwa kama wanahoja ya msingi haswa kwanza wangalidai uhuru wa Tanganyika then waje katika Katiba wajifunze kutoka Zanzibar
Mimi nashindwa kuwafahamu hawa wenzetu wana lengo gani? tarehe 11 December 1961 wanasema wanasherehekea uhuru wa Tanzania na matangazo yao ni haya. Jee hawa Watanganyika timamu lakini? Mtu kuwacha historia halali ya nchi yake na kudandia umoja wa Muungano wa Tanzania kuwa uhuru wake.
Click here kuangalia uhuru kamili wa Tanganyika www.nyererebritishpath
Ati huu ndio uhuru wa Tanzania