Mjadala wa Katiba Mpya on Star TV this Sunday | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa Katiba Mpya on Star TV this Sunday

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Yahya Mohamed, Dec 11, 2010.

 1. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #1
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama tulivyoahidi wiki iliyopita, elimu ya ulazima wa Katiba mpya kwa Watanzania itatolewa kupitia mjadala huu hapo kesho kuanzia saa 1 na dk 3O asubuhi katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI.
  WanaJF Micahngo na mawazo yenu yanakaribishwa na hatutasita kuyatumia kwa manufaa ya umma kama ambavyo tumekuwa tukifanya.
  Natanguliza shukrani zangu kwa ushiriki makini na wa kipekee wiki iliyopita
  Yahya M
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwani katiba ya sasa haitoshi?

  Ingekuwa vizuri akaleta mjadala wa kuleta maendeleo Tanzania
   
 3. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,854
  Likes Received: 4,523
  Trophy Points: 280
  Mbona habari roborobo? Taja wageni waalikwa tafadhali.
   
 4. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #4
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hilo ni sehemu ya swali kwa wageni wangu, ahsante kwa mawazo. Mjadala upo pale pale mkubwa kama kwako hauna manufaa wengine inawanyima usingizi.
   
 5. m

  masoudmwevi Member

  #5
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wageni studio zote ni akina nani,
  shivji au sengondo mvungi wawepo
   
 6. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #6
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tazama post ya wiki iliyopita...Huu ni mwendelezo wa last week kama hukupata that means archieve hapa JF iondolewe
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  watanzania vijijini wanakufa kwa njaa toa mijadala ya kuwakwamua kiuchumi
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  looking forward to it..
   
 9. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #9
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hata wewe ni sehemu ya mshiriki muhimu ni mawazo yako na si nani yupo studio jamani, watanzania mbona kazi ipo.
   
 10. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #10
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tushatoa sana wala wewe si wa kwanza kulisemea hilo, seems bro umekuja hapa leo katika mjadala huu. kama huna hoja usipochangia napo si dhambi.
   
 11. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Yahya,

  Natumaini umesoma mapendekezo yetu hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/85631-new-movement-needed-mabadiliko-ya-katiba-uzalendo.html

  Na pia umepitia mawazo yetu mengi sana juu ya katiba ya sasa jinsi ilivyo na tunavyopendekeza iwe hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/2622-katiba-ya-tanzania-ilivyo-na-mapendekezo-ya-mabadiliko.html

  Aidha, nawatakia kila la heri kipindi hicho cha kesho, ukisoma nondo hizo nilizokupa hutouliza maswali kama watangazaji wa TBC1 bali kama mwananchi pia, yani uwe sehemu ya wananchi usiwe sehemu ya watawala!
   
 12. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #12
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waiting for your call brother, last week it was worth of salt despite some few technical problem with connection, but I appreciate.
  Thank you in advance
   
 13. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #13
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shukrani sana Mugumu
  Ngoja nizitazame link hizo
   
 14. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,854
  Likes Received: 4,523
  Trophy Points: 280
  QUOTE=Yahya M;Hata wewe ni sehemu ya mshiriki muhimu ni mawazo yako na si nani yupo studio jamani, watanzania mbona kazi ipo.

  Ilo linaeleweka. Lakini nimeuliza ili nijue lead speakers ambao watanivutia kusikiliza mjadala,ambao watakua objective na si bias. Kwani kila mmoja akiwa lead speaker si tutakua tunapiga KELELE?!
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  hauna akili!!!
   
 16. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
   
 17. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mijadala yote ya kuwakwamua kiuchumi ndo itaanza na katiba,
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Katiba ya sasa hivi ni ya kizazi kileeeeeee kilicho pita na imekuwa na viraka viraka mno mpaka inakosa mweleko. Tunahitaji Elimu kwanza kwa umma kuhusu katiba mpya nini kiwemo na nini kiondolewe na vile vile jamii inabidi iandaliwe kupokea hiyo katiba mpya. Hii ya sasa imepitwa na wakati maana sasa hivi dunia inapiga hatua katika sayansi ya teknolojia sisi tumeng'ang'ania katiba ile ile ya zamani.
  Serikali inabidi ijipange jinsi gani itafanikisha zoezi zima la elimu kwa watanzania juu ya ujio wa katiba mpya ihusishe taasisi mbali mbali, mashirika na wanaharakati ili tupate katiba isiyo kuwa na manung'uniko pande zote katika jamii.
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wanakufa kwa njaa kwa kukosa uongozi bora.

  Uongozi wa kubebana ndo umetufanya tufike hapa tulipo angalia sasa mfumuko wa bei.
   
 20. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Kwanini huona kuwa hata kwa katiba yetu ya sasa watu wamekwamuliwa chini ya ccm??
   
Loading...