Je, umewahi nunua uwanja, ukaanza na kajenga kisha baadae ukaanza kujutia kujenga eneo hilo?

Nilinunua pagala kwa ndugu yangu kumsupot baada yakupata uamisho kikazi.... Sikua na haraka ya kupamliazia...

December naenda kucheck, na mpango w a kupamalizia, la haula yule mzee kauza mpaka aliyosema itakua ndio njia....

Imebidi niwasiliane na madalali kwa msaada zaid
 
Du aise
 
Back
Top Bottom