Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuanza ujenzi barabara ya Kibena - Lupembe (km 42) kwa kiwango cha lami ili kuufungua mkoa huo kiuchumi hasa kutokana na...
RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga...
Habari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga).
Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa...
Wachina wameleta mapinduzi ya uezekaji kwa aina mpya ya bati za plastic na sifa kedekede kama kupoza nyumba, kurecycle yakichakaa, uimara, kutovuja kupitia misumari, bei ndogo, kutunza hewa safi...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa Mhandisi Mshauri LEA Associaties anayesimamia ujenzi wa barabara ya Kitai - Lituhi sehemu ya Amani Makoro-Ruanda (km 35) kwa kiwango...
Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na...
BILIONI 113 KUJENGA KM 50 BARABARA YA ZEGE KUELEKEA LIGANGA NA MCHUCHUMA.
Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara ya Itoni-Lusitu (km 50) kwa kiwango cha zege, ambayo itagharimu kiasi cha...
BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI AVIC, ATOA WIKI TATU MITAMBO NA WATALAAM KUFIKA ‘SITE’
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wiki tatu kwa Mkandarasi wa kampuni ya China National...
WAZIRI BASHUNGWA AMBANA MKANDARASI CHICO, UCHELEWESHWAJI WA MIRADI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb), amemuagiza Mkandarasi wa kampuni ya CHICO anayejenga barabara ya Makutano ya Ntyuka...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuwasimamia wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha hadi kufikia mwezi...
WAZIRI BASHUNGWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOA DODOMA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa, Rosemary Senyamule, kwa ajili ya...
Wadau habarini
Hivi gharama ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu dinning na sitting room mpaka kufikia mwenye lentre inaweza kugharim shingap za kitanzania
Hapa naulizia kuanzia msingi, gharama za...
Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba?
Nimempata fundi aniinulie boma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.