Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

Nna fund ana bei za kawaida mno, labda nikupatie mawasiliano yake, yeye atakupa ushaur mzuri.

Mafund wa kisasa watakwambia mpaka kokoto ununue zile nyeusi wakat kokoto jiwe zipo kibao kigamboni, mara cement mifuko kibaoo, mafundi wenye uzoefu ni wazuri mno.
 
Nna fund ana bei za kawaida mno, labda nikupatie mawasiliano yake, yeye atakupa ushaur mzuri.

Mafund wa kisasa watakwambia mpaka kokoto ununue zile nyeusi wakat kokoto jiwe zipo kibao kigamboni, mara cement mifuko kibaoo, mafundi wenye uzoefu ni wazuri mno.
Hapindishi ukuta lakini? Na mijengo ya kisasa ile anaiweza akipewa ramani tu?
 
Hatua utakayofikia inategemea na aina ya nyumba unayoitaka.
3 bedrooms ni too general. Kuna 2 bedroom houses zipo expensive kuliko 6 bedroom houses.
Yaani swali ni too general.
Uko sahihi sana.
Nb: pia wapo wanaomini ghorofa daima ni expensive kuliko bungalow
Na zaidi Yaani katika vitu vinavyonishangaza hua ni hili la mtu kudefine nyumba kwa idadi ya vyumba..wakati hiyo ni spatial arrangements tu. Bora wanaoeleza kwa ukubwa wa skwea mita.
 
Wala siyo vitisho mkuu,
Anaweza akamaliza kila kitu na hela kubaki, pia inaweza isitoshe.
Nyumba ni wewe unavyotaka, siyo watu wanavyotaka kwa sababu Tanzania hatuna codes tunazotakiwa tuzifuate.
Kwa mtu anaye strugle na cash , hutakiwi kumpa options ngumu ngumu
Uzuri ameweka wazi kabisa , ana 20 millions , huna sababu ya kumpatia extravagant options

Ndo vitisho vyenyewe hivyo.
 
Hawawez wakakuelewa mkuu.

Kama mtu una kiwanja tayari, 20ml inakusogeza parefu mno kwa nyumba ya vyumba 3.

Wengi vitisho vya ujenzi ndo vinafanya kuchelewa kujenga.
Pia msipende kujibu maswali kiurahisi ili uonekane wewe ni mtu wa maana kwa sababu unampa mtu moyo.
Sometimes mtu inatakiwa aondolewe kutoka fikra fulani kabla ya kuanza project yake.
Kwa mfano, mleta mada ni vizuri akishauriwa kuwa nyumba vyumba vitatu haielezi nini unachohitaji.
Angeleta ramani, au akaelezea size ya vyumba etc...
La sivyo tutakuwa tunajibishana tu, unaweza, huwezi, unaweza, huwezi ... kwa siku kumi. No description.
 
Back
Top Bottom