Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
Habari kwenu wajenzi wa JF, naweza simamisha mijengo Yenye hii ramani Kwa fedha kiasi gani?
Hiyo pesa ni mpaka kupaua na kuhamia au mpaka kozi tatu za juu mkuu...?