Ni changamoto gani ulishapitia Kwa mafundi?

Vicenza

JF-Expert Member
Oct 5, 2019
970
1,465
Wiki iliyopita nili tafuta fundi mtaani aniwekee double socket Kwa room ambayo nilikuwa naitaji nyongeza ya socket ya kuweka tv ukutani, Sasa fundi akaja usiku sa mbili kupanda darini ,ilibidi nimsamamie adi alipo maliza ,akanijulisha tayr naweza jaribu kuweka kifaa Cha umeme kama Ina fanya kazi,kwel ikawa inafanya kazi,

Usiku nikiwa zangu nacheki TV nikasema ngoja nizime taa ya ukutani Ili niendelee kupata burudani, matokeo yake nataka kuzima taa ya ukutani na tv inazima ,nikasema labda.si kwel ngoja Tena niwashe taa ,Ile nawasha Tena na tv Ina waka ,astagrafulai,

Nikamtafuta fundi kwa simu hapokei Tena ,piga sana simu Kila siku fundi hapokei adi wiki inaisha fundi hapokei simu ,

Habari yangu ikaishia hapo.
 
Duh pole mkuuu ila changamoto za mafundi ni nyingi

Sent from my SM-S908B using JamiiForums mobile app
 
Wiki iliyopita nili tafuta fundi mtaani aniwekee double socket Kwa room ambayo nilikuwa naitaji nyongeza ya socket ya kuweka tv ukutani, Sasa fundi akaja usiku sa mbili kupanda darini ,ilibidi nimsamamie adi alipo maliza ,akanijulisha tayr naweza jaribu kuweka kifaa Cha umeme kama Ina fanya kazi,kwel ikawa inafanya kazi,

Usiku nikiwa zangu nacheki TV nikasema ngoja nizime taa ya ukutani Ili niendelee kupata burudani, matokeo yake nataka kuzima taa ya ukutani na tv inazima ,nikasema labda.si kwel ngoja Tena niwashe taa ,Ile nawasha Tena na tv Ina waka ,astagrafulai,

Nikamtafuta fundi kwa simu hapokei Tena ,piga sana simu Kila siku fundi hapokei adi wiki inaisha fundi hapokei simu ,

Habari yangu ikaishia hapo.
Mfumo wa socket (power supply) siku zote unatakiwa uwe separate na mfumo wa taa (lighting), mfano ikitokea hitilafu ktk mfumo wa taa, ili urekebishe hiyo hitilafu unaenda kuzima switch ya mfumo wa taa tu huku mifumo mingine ikiendelea kufanya kazi kama kawaida. Huyo bado sana, anatakiwa aendelee kujifunza zaidi vinginevyo kuna siku atapelekwa Segerea kwa kusababisha hasara za mali au/na vifo vya watu
 
🤣🤣huyo fundi ni mm mzee na nlkufanyia kusudi tu kukuungia na switch wire ya taa makusudi maana umelia sana hyo kazi sio ya kunilipa elfu 3500 mkuu nmkuambia unipe elfu 10 umekataa sasa skupokelei simu yako 🤣🤣 na huna cha kunifanya

ila huyo fundi mbabaishaji sana atakuja kupelekwa rumande sku moja
 
Wiki iliyopita nili tafuta fundi mtaani aniwekee double socket Kwa room ambayo nilikuwa naitaji nyongeza ya socket ya kuweka tv ukutani, Sasa fundi akaja usiku sa mbili kupanda darini ,ilibidi nimsamamie adi alipo maliza ,akanijulisha tayr naweza jaribu kuweka kifaa Cha umeme kama Ina fanya kazi,kwel ikawa inafanya kazi,

Usiku nikiwa zangu nacheki TV nikasema ngoja nizime taa ya ukutani Ili niendelee kupata burudani, matokeo yake nataka kuzima taa ya ukutani na tv inazima ,nikasema labda.si kwel ngoja Tena niwashe taa ,Ile nawasha Tena na tv Ina waka ,astagrafulai,

Nikamtafuta fundi kwa simu hapokei Tena ,piga sana simu Kila siku fundi hapokei adi wiki inaisha fundi hapokei simu ,

Habari yangu ikaishia hapo.
Mimi sio fundi ila fundi wako ni Kanjanja.
Kwa elimu yangu ndogo tu kuhusu umeme nachojua umeme unatumia nyaya za 1.5mm wakati soketi za TV, Radio, Friji etc zinatumia nyaya za 2.5.
 
Wiki iliyopita nili tafuta fundi mtaani aniwekee double socket Kwa room ambayo nilikuwa naitaji nyongeza ya socket ya kuweka tv ukutani, Sasa fundi akaja usiku sa mbili kupanda darini ,ilibidi nimsamamie adi alipo maliza ,akanijulisha tayr naweza jaribu kuweka kifaa Cha umeme kama Ina fanya kazi,kwel ikawa inafanya kazi,

Usiku nikiwa zangu nacheki TV nikasema ngoja nizime taa ya ukutani Ili niendelee kupata burudani, matokeo yake nataka kuzima taa ya ukutani na tv inazima ,nikasema labda.si kwel ngoja Tena niwashe taa ,Ile nawasha Tena na tv Ina waka ,astagrafulai,

Nikamtafuta fundi kwa simu hapokei Tena ,piga sana simu Kila siku fundi hapokei adi wiki inaisha fundi hapokei simu ,

Habari yangu ikaishia hapo.
Ni wehu sanaaa, wanajishushia thamani kwenye taaluma yao

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom