Ninaitaji fundi mzuri asiwe mbabaishaji anayejua kutengeneza ua la sebureni

rugu kwetu

Member
May 23, 2023
19
12
Husika na mada tajwa hapo. Mm nipo bunju Kilomita 3 kutoka barabara ya bagamoyo . Nyumba tiyar imeisha pigwa blandaring kinachofanyika ni kudisgn ua la sebure pamoja na dinning. Asiwe na bei za mbezi beach au mbweni ila ninauhakika tutaelewana ninamuomba hata kama atapatikana leo tuyajenge tafadhali nifate dm tuyajenge karibu sana
 
Nadhani una maanisha kama haya
72208e263ffed00e687e5c4400d398fe.jpg
edc4fe663daf6065b4bddb50fa7b0f48.jpg
 
Back
Top Bottom