MACDEGAMO Company

MACDEGAMO Company

Pedeshee212

Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
67
Reaction score
57
MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango vya kitaalamu ili kuboresha mwonekano, usalama na thamani ya majengo na mazingira ya wateja wetu. Tunajenga ubora, tunatunza mazingira yako.
 
VISION (Dira)
"Kuwa kampuni inayoongoza Tanzania katika huduma za matengenezo ya majengo, usafi, na utunzaji wa mazingira kwa kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, ubunifu, na uaminifu unaozidi matarajio ya wateja."

MISSION (Dhima)
"Kutoa huduma za kitaalamu za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, na utunzaji wa bustani kwa kutumia wafanyakazi wenye ujuzi, vifaa vya kisasa, na kuzingatia ubora, usalama, na kuridhika kwa wateja huku tukichangia mazingira safi na yenye kuvutia."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom