Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habari ya wakati huu wakuu, Fundi yeyote aliye mtaalam wa kupaua kwa kutumia chuma (steel) anicheki PM tafadhali ama anicheki WhatsApp kwa namba 0654335361, nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Habari wadau, Naomba kujua gharama za kulipia hati upande wa Premium ni 2.5% au 25% ya gharama ya kiwanja? Maana bili niliyopewa sielewi.
0 Reactions
0 Replies
33 Views
Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana. Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila...
8 Reactions
14 Replies
553 Views
🚽🔥 UNAHITAJI SHIMO LA CHOO LISILOJAA MAJITAKA? 🤔 KWANINI SHIMO HILI HALIJAI KAMA MASHIMO YA KAWAIDA? 💰 KWA 800,000 tunakujengea kila kitu kwetu mpaka shimo linakamilika. ✨ FAIDA ZAKE: ✅...
3 Reactions
1 Replies
97 Views
  • Featured
Habari wakuu, majuzi nikiwa naperuzi insta nilikutana na tangazo la dalali la apartment ya AirBnB. Nilikuwa tayari nimeshapita, lakini nikastuka baada ya kugundua kuwa jengo lile ni la mradi wa...
25 Reactions
75 Replies
3K Views
Ni mshahara nilikuwa najenga ili nisiwe "homeless" lakini naishia kuwa "homeless" bonge la movie Ni mshahara nilikuwa matadors kazi ili nisiwe "unemployed " lakini naishia kuwa "Unemployed "...
1 Reactions
9 Replies
147 Views
Habari wakuu hatimaje nimedundukkza million mbili, naomba nijue gharama ya kibali cha ujenzi na process zake
8 Reactions
85 Replies
15K Views
Haya Wataalamu wa Ujenzi njooni upesi sana mtoe Mawazo yenu ya Kiutaalamu na ya Kiujenzi ili tuelimike pakubwa.
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Wakuu, Nilipita Mbopo Madale nilioni kuna eneo linauzwa Milioni 30 ni Square Metre 600 lakini kwa kweli value for money naona haliendani na hilo eneo Kwanza mpaka ufike kwenye hilo eneo kuna...
5 Reactions
4 Replies
263 Views
PLN 0001 2BR Ramani ya Vyumba Viwili Living room (Sebule) 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C) 1 Single bedroom Kitchen (Jiko) Public toilet (Choo cha jumuiya) Ramani hii ina privacy...
66 Reactions
1K Replies
136K Views
guest-1789818704
WANA-JF HABARI ZA WAKATI HUU. Nauza PAGALE lililopo Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga – Pwani, nyuma ya mnada. 🏠 Limefikia kozi ya 11, lina: • Vyumba 5 — 4 Master • Sitting room kubwa, dining...
0 Reactions
6 Replies
361 Views
Rasmi Mahakamani ndiyo sehemu inayotishia zaidi hapa Tanzania😂😂😂
4 Reactions
12 Replies
266 Views
🔐 SMART EYE SECURITY SERVICES 📹 Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. 👁️📹 🏠 Nyumbani 🏪 Madukani &...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Kwema wakuu, Soon nitaanza umwagaji Slab kwenye ujenzi wa ghorofa. Slab itamwagwa kwenye eneo la nyumba ya ukubwa wa kawaida tu, ambao ni kama mita 8 kwa 12 eneo la nyumba ya chini, floor moja...
0 Reactions
5 Replies
135 Views
MNARA WA TANK LA MAJI — SEHEMU YA 1/6 UNATAKA KUJENGA MNARA WA TANK LA MAJI? USIANZE NA NGUZO! Watu wengi wanaanza kwa kuuliza: ❌ “Nguzo ziwe na ukubwa gani?” ❌ “Niweke nondo mm ngapi?” ❌...
2 Reactions
24 Replies
509 Views
Wana jamvini hapa ndio mlipo wataalamu wa Ujenzi, Mimi nina nyumba zangu tano nimezijenga wakati tofauti tofauti, ila kuna suala moja linanitatiza sana, matank yote ya maji niliyonunua takribani...
2 Reactions
3 Replies
182 Views
Mafundi wa ujenzi, kazi ni upigaji wa plaster siku ya kesho tarehe 07/09/2026 wanahitajika wa kutosha kama unaweza ama unamfahamu mdau anayeweza kufanya hili jambo mjuze aweze kusogea karibu...
5 Reactions
16 Replies
222 Views
Anonymous
Katika Mtaa wa Masaki, Kata ya Toangoma, Temeke – Dar es Salaam, kunaendelea zoezi la urasimishaji wa ardhi kwa viwanja ambavyo havijapimwa (Unsurveyed Plots). Zoezi hili ni muhimu kwa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
  • Featured
Je, wahitaji ushauri kuhusu ujenzi? Hapa ndipo mahala pake. Piga au wasap. 0756244608 Uliza kuhusu ujenzi wa boma (walling) Uliza kuhusu kupaua Uliza kuhusu kupiga plaster Uliza kuhusu plumbing...
14 Reactions
399 Replies
23K Views
🏠 MDau ameuliza: “Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?” Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇 Kama tayari una ramani na maono ya nyumba...
1 Reactions
0 Replies
288 Views
Back
Top Bottom