Tuulizie kwenye mamlaka zinazohusika, kwa nini kadiri viwanda vinavyozidi kuongezeka, hasa vya vifaa vya ujenzi, gharama za bidhaa zinazidi kupanda?
Viwanda vya saruji kwa sasa vimeongezeka...
Tumekuwa taifa la wachuuzi na watu waliokosa ubunifu
Tunaona nyumba nyingi zinazojengwa pembezoni mwa barabara zikibuniwa na fremu za maduka, hata kama wenye nyumba hawana mpango wa kufanya...
Kama title isemavyo, nahitaji kupata fundi kujenga anifundishe kujenga, nitafanya kazi kama saidia huku akinipa ujuzi, mkoa wowote ule nitafika.
Nawasilisha.
Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini?
At...
Hivi ni kwanini ile spidi ya kuanzia msingi hadi kwenye lenta inakuwaga ya kasi sana but kuanzia hapo hadi kumalizia wengi hurudi nyuma, nini shida?
Hata ukipita mitaani nyumba nyingi ambazo...
Wilaya ya Handeni mkoani Tanga umeme unakata sana na ni kila siku bila kupewa taarifa , kila siku kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa 1 jioni Kwa mji wa kabuku na maeneo mengi ya wilaya ya Handeni...
Nitaeleza leo
umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi
UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA
1. Unaokoa pesa nyingi
FAW/Mende trip 1...
Naomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm...
Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati...
MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango...
Tunatoa huduma Bora zaidi ya kudesign eneo lako na kukupandia bustani nzuri ya kisasa kwenye MAZINGIRA yako Tena Kwa gharama nafuu mnoo.
Nitafute Kwa Namba hii. 0714693107 napatikana jijini Dar...
vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi
Udongo wa mfinyanzi (clay soil) ni mgumu kujengea kwa sababu huvimba ukiwa na maji na kusinyauka ukikauka. Hii...
Inabidi kuta za nyumba zipendeze mpaka ukiingia useme waoooh amejitahidi
Nahitaji kufanya moulding ya ukuta. Mnitoe ushaamba ni materials yapi ni sahihi?
Kuna mafundi wanatumia gypsum powder...
DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha...
Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa.
Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi
Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka...
1. Huyu "Ëngineer" wa instagram anafaa kusaidiwa kitaalamu ili ajisajili ERB na kampuni yake isajiliwe BRELA, TRA, OSHA, NEMC ili apate kazi kubwa zaidi.
2. ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.