Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama...
2 Reactions
0 Replies
871 Views
Wadau kama kuna mtu anajua wanapoiza lithium battery smoke detector anijuze nikanunue.
0 Reactions
1 Replies
375 Views
MAKANDARASI WATAKIWA KUZINGATIA TAALUMA Makandarasi wa ndani wametakiwa kutumia wataalam wenye sifa katika kutekeleza shughuli zao, ili kuifanya miradi inayotekelezwa kuwa na viwango na kudumu...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Naomba maelekezo ya star delta starter na michoro yake
1 Reactions
1 Replies
550 Views
Habari wanandugu, Mimi ni mkazi wa gongo la mboto (mongola ndege), maisha yalikuwa safii tu bila usumbufu wowote ila sasa kuna kiwanja cha jirani hapa wamefungua kanisa. Ni ibada sawa hakuna...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za leo wajenzi. Samahani, navutiwa au niseme nimevutiwa sana na ujenzi wa nyumba za kupangisha, zile zinazokaa nyingi kias ndani ya eneo moja. Naomba kuuliza itanicost garama kiasi gani...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma kusafisha ukuta ( skim) watu walitumia chokaa , wapo wanaoendelea kutumia chokaa japo wanaonekana wamepitwa na wakati,🎚️baada ya chokaa zimekuja materia nyingi nyingi. Nimetumia...
7 Reactions
23 Replies
8K Views
Habari wakuu? Nimerudi tene kijana wenu niliechoshwa na sarakasi za wenye nyumba na wapangaji wenzangu, By the way naomba kujuzwa kati ya hizo RAMANI 2 nilizo'attach hapa ni ipi naweza...
13 Reactions
110 Replies
12K Views
Habari, kutokana na mada za watu tofauti wakiomba kufahamishwa kuusu aina gani ya AC wafunge nimeona nije na hii mada itakayo weza kutoa muongozo kwa yule mtu ambaye anahitaji kufunga AC kwenye...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda wana jf ,moja kwa moja kwenye mada Naombeni ushauri wa muundo mzuri wa furniture nzuri ya kuwekea jiko la gas,vyombo,na sehemu ya kuwekea viungo...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hellow wanafamilia wa JF, Kumekuwa na haya makanisa ya kilokole yanayoota kama uyoga katikati ya makazi yetu, na likiwepo basi ni kelele mtindo mmoja. Ninapoishi mimi kuna kikanisa kidogo cha...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia
0 Reactions
3 Replies
691 Views
Wengi huwa tunajenga makazi yetu ya kuishi kutokana na ukubwa wa vipato vyetu; wapo watakao jenga kwenye eneo la 10x10m, 20x 30m, 40 x 50m n.k Pia, wapo watakaojenga kwenye eneo la ekari 5, 10...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Jamaa yenu nataka mwaka huu niachane na upangaji kwa wenye utaalamu naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne sebule choo na jiko kwa fundi. Nimeuliza gharama...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
-Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia. ◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu bila shaka mpo salama. Siku hizi naona kuna hii biashara ya kuuza/kununua zege.. 1. Hivi ubora wake huwa ukoje?Mteja unauhakiki vipi ubora kukidhi mahitajio yake maana linaletwa na gari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MHE. GODWIN MOLLEL - NYUMBA 52 ZA WATUMISHI ZIMEJENGWA MWAKA HUU WA FEDHA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema katika mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga...
0 Reactions
3 Replies
563 Views
Kwema Wakuu? Nimeanza Ujenzi wa Nyumba yenye Hidden Roof, na nishapiga kozi 10 nataka sasa nianze kwenye Linta kwenda juu kozi 6 pamoja na kibaraza na mifereji yake ya maji. Katika "quotations"...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Hello wana jf Husika na kichwa cha uzi hapo juu. Je, endapo mgomba utapandwa karibu kabisa na ukuta wa nyumba (nje ya dirisha) mizizi yake inaweza leta madhara kwenye ukuta? Karibu unielimishe...
1 Reactions
6 Replies
893 Views
kila mtu ana sababu ya kupenda kitu flani, hata kwenye ujenzi wa nyumba kila mtu ana sababu ya kupenda muenekano flani wa nyumba yake...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom