Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,363
- 5,110
Panapo majaliwa mwaka huu nataka nianze ujenzi mkoani kwetu .
Namjengea mama yangu kama zawadi ya shukurani kwake kwa malezi mazuri .
Sina pesa nyingi ya kujenga kwa mkupuo ila ujenzi wangu nimegawa kwenye phase zifuatazo.
1.kununua materials kama mchanga,kokoto,mawe,tofali,cement
2.msingi
3.boma usawa wa dirisha
4.boma na kumaliza zege kabisa.
5. Kupaua
6.plasta
7.milango na madirisha
8.choo
9.rangi
10.tiles.
Nafanya hivi sababu kipato changu kidogo (tgs c)
Hii ndo design nayoiwaza kwa kuanzia ili mama asiendelee kupanga
Naombeni ushauri wa vipimo natamani sebule iwe kubwa na vyumba vikubwa.
Naombeni estimation ya cost kiwanja ni kikubwa m² 600. Kina nature ya slope japo sio sana .
Ahsanteni nawakaribisha.