Kwema Wakuu?
Nimeanza Ujenzi wa Nyumba yenye Hidden Roof, na nishapiga kozi 10 nataka sasa nianze kwenye Linta kwenda juu kozi 6 pamoja na kibaraza na mifereji yake ya maji.
Katika "quotations"...
Hello wana jf
Husika na kichwa cha uzi hapo juu.
Je, endapo mgomba utapandwa karibu kabisa na ukuta wa nyumba (nje ya dirisha) mizizi yake inaweza leta madhara kwenye ukuta?
Karibu unielimishe...
• Kumeibuka wimbi la ujenzi wa ICD usioratibiwa katika jiji la Dar
• Wilaya zilizoathirika zaidi ni Temeke (kuroka Mbagala hadi Kurasini) na Kigamboni
• Nyingi zimejengwa katika makazi ya watu...
Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya...
Hello guys heri ya sikukuu nisiwachoshe sna ila kama kichwa cha habari hapo juu serikali imetoka msamaha wa kodi kwenye umiliki wa ardhi kwa wale wenye malimbikizo ya kodi.
Sasa swali langu mmi...
Wakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua...
UWEKEZAJI BANDARI YA MTWARA WALETA MATOKEO CHANYA
Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ( Sekta ya Uchukuzi) Mhe. Atupele Mwakibete, amesema uwekezaji wa zaidi ya shillings bilioni 157.8 uliowekwa...
Salaam Jamiiforums,
Naombeni msaada wa mawazo, niko na njia mbili ila sijui niifate ipi?
Nimeitiwa mahali kuna kiwanja kinauzwa milioni 20, wakati huo huo nikaitiwa sehemu nyumba inauzwa milion...
Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo.
Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani.
Maji yapo karibu.
Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo...
Hi waheshimiwa
Kwa mlio Mafinga trested timber 2x4 ni sh ngapi, 2x2 ni sh ngapi
Na 1x6sh ngap
1x10 ni sh ngapi
Naomba huo msaada mkuu ili nifanye maamuzi
Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta .
Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa...
Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4.
Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara.
So nilikua naomba...
Wazee nahitaji fremu haraka sana kwa ajili ya Ofisi.
1. Iwe na eneo mbele kwa ajili ya parking. Hilo eneo la parking isiwe eneo la barabara. Sehemu inayotosha hata gari ndogo 3.
2. Siyo lazima...
Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda...
Hizi ni bati zenye muundo mzuri kweli. Zinakuja katika bei kubwa na last time i checked inatengenezwa Alaf anatengeneza gauge 28 tu.
Vp wewe ungependele ununue design gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.