Habari ya usiku ndugu wanajamvi, natumai sote tuko salama na tunaendelea vizuri ujenzi wa taifa. Niende kwenye mada Moja kwa moja.
Mimi ni mjasiriamali ambaye kwa kudra za Mwenyezi Mungu...
Juzi niliamua kutembelea kigamboni hadi kimbiji nimepita pale mradi wa nssf dege kwa mbele huko nimeona kumetulia sana sasa wenyeji hebu leteni mchongo wa viwanja vya bei nafuu tuyajenge pesa ipo...
Habari wanajamvi,
Mwenye ramani ya nyumba yenye vyumba vinne vya kulala yani mater moja na vitatu kawaida, yenye dinning room, sitting room, jiko na store.
Ramani za kisasa ndo naiomba...
MBUNGE ALOYCE KWEZI ATAKA AJIRA KWENYE MIRADI ZIZINGATIE VIJANA WA MAENEO YAO
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoa wa Tabora, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
SERIKALI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA MIRADI KWA WAKATI
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Jackline Msongozi ameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara kwa wakati bila kusubiri misimu kwa...
BAJETI YA TRILIONI 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI - WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi...
Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba
Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani...
Nna Nyumba Magomeni Natafuta Mwekezaji wa Ubia... Nyumba ipo Barabarani kabisa karibu na Stendi ya Magomeni Kanisani, Kanisa la KKKT Magomeni, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kinondoni na Majengo mapya ya...
Wakuu naomba msaada kwa wajuzi na watalaam wa tiles.. Ni tiles gani nzuri sana (imara na durable) zinatengenezwa Tanzania?
Nahitaji zile bora hata za China na India. Kibanda changu kimefikia...
MIRADI MIPYA YA MAJI JIMBO LA NGARA, KAGERA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza na...
Habarini wanandugu, nataka kuingia kwenye ujenzi ila kwa kuanza na nyumba ndogo kwanza ya chumba kimoja na sebule, kisha nihamie ndo nianze kujenga nyumba kubwa.
Plot ipo kigamboni na ni...
Kuna hizi mbao (artificial) zinaitwa MDF boards. Je, unaweza kuzitumia kutengeneza milango ya nyumba/hasa ya vyumbani? Je, katika pitapita zako katika majumba ya watu au katika viwanda vya...
SERIKALI INAENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME- NGORONGORO
Na Godfrey Mwemezi, Ngorongoro Arusha.
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
VIJIJI VYOTE VILIVYOPO WILAYA YA KARATU NA MONDULI KUFIKIWA NA UMEME.
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeendelea na hatua ya kusambaza umeme katika maeneo ya Wilayani Monduli...
JIMBO LA KITETO - EDWARD OLE LEKAITA
TAARIFA MAALUM KUHUSU UJENZI BARABARA ZA LAMI
BARABARA KONGWA - KITETO- SIMANJIRO- ARUSHA KM 453
BARABARA HANDENI - KITETO- NCHEMBA - SINGIDA KM 460
Ndugu...
📍 Igunga, Tabora
ZIARA YA MBUNGE JIMBONI
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa atafanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Jimboni Igunga kuanzia tarehe 19 Mei, 2023 kwa ajili ya;
1...
Wakuu kwema?
Naomba mwenye ujuzi au uzoefu nyumba ya rooms nne za kulala ambapo mbili ni self contained pia kuna jiko, sebule, dining na choo cha public.
Kwa makisio gharama za kufanya plumbing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.