Habar wana jukwaa mimi ni Raia wa kawaida yaani mtafutaji mdogo, nimejichanga nimenunua kiwanja, Nimefyatua Tofali za kuchoma zipo Tayar, Nimenunua bati za kawaida tayar, sasa nataka kijenga...
Uzi wa mafundi wa majumbani kama umeme, ujenzi, bomba na n.k + wenye nyumba lengo nikupata msaada au kutoa ushauri au unataka fundi Kwa wenye nyumba
Mfano: wewe una hitaji fundi wa umeme labda...
Nimepata kiwanja size ya 20*15 nauliza changamoto ya hv viwanja ni ipi hasa maeneo ya mjini daslam kama Goba, nataka nichukue kimoja , nijenge gheto karbu na mji niwe nawah Mishe zangu mjini...
Habari ...
Nimejenga nyumba nimeimaliza kiasi cha kuweza kuhamia, ila nasumbuliwa na hali ya uvivu sana kwenye kuhamia...wakat mwanzoni nilikua na mzuka wa kujenga na kumaliza ..nakutamani...
SERIKALI KUENDELEA KUFANYA TATHMINI YA KINA KATIKA MAENEO YALIYOPATA ATHARI ZA MAFURIKO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali...
Sina uzoefu wowote katika ujenzi naomba msada wenu.
Nahitaji ramani ya nyumba iwe na vyumba vitatu ikiwemo masta moja jiko na dining pia kama ntapata fundi mzuri itapendeza, nawasilisha...
YAWEKEZA MILIONI 214 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAPOROMOKO YA ULUGURU
Serikali imesema imewekeza fedha kiasi cha shilingi mil. 214.3 kuboresha miundombinu ya barabara katika kivutio cha utalii cha...
JIMBO LA KITETO - TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU MIRADI YA HUDUMA ZA MAWASILIANO
Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto natambua kuwa wakati natafuta kura tulipata changamoto nyingi...
Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi...
MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya...
MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA
SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote...
Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya...
Nimeangalia Matokeo ya sensa nimeona Licha ya Kigamboni kuwa Dar ila Ina watu Wachache na wengi pia hawahamii tofauti na Mkuranga..
Sasa sijajua shida ni ipi ila nataka kuuliza,ni wapi Kati ya...
Panapo majaliwa mwaka huu nataka nianze ujenzi mkoani kwetu .
Namjengea mama yangu kama zawadi ya shukurani kwake kwa malezi mazuri .
Sina pesa nyingi ya kujenga kwa mkupuo ila ujenzi wangu...
Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
Habari wapendwa humu Kama kawaida ya jamii forum watu mbalimbali tumeweza kukutanishwa huku tukiwa na fani mbalimbali.
Lengo la uzi huu ni kupata fundi ambae anaweza nipa gharama za awali ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.