Kwanza tunawapongeza wote mnaoendelea na ujenzi wa makazi. Kumiliki nyumba kuna heshima yake.
Lakini hebu tuambieni, ratiba za kwenda site huwa zikoje?
Mfano wewe unayejenga; site unaenda kila...
Nahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note:
Wawe Dar
Wakuu habarin za kazi.
Natafuta fundi mzuri wa hizi nyumba za contemporary aliyeko Mbeya mjini kwa ajili ya kufix sehem kwenye ofisi panavuja.
Ofisi imejengwa kwa aina hiyo hivyo kutokana na...
Habari za muda huu wakuu,
Siku moja mida ya jioni nikiwa nimetulia nilistushwa na text ya whatsap, kucheki vizuri nikabaini ni mteja kutoka Instagram kwenye account yangu inayohusiana na ujenzi...
BARABARA KUU PEKEE YA MUSOMA VIJIJINI INAHITAJI KUWEKEWA LAMI: HAIJAPITIKA KIURAHISI KWA ZAIDI SIKU TANO (5)
Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera (km 92)
*Mvua zinazonyeesha wakati huu zinaleta...
Kuna kipindi nyumbani tulikuwa tunajenga nyumba ya familia, Ikaanza kila tukinunua sementi unakuta mifuko inapungua, kumbe kibarua akichanganya mchanga na sementi, anapakia mchanganyiko kwenye...
Kwanini nchi nyingine bei ya nyumba iko chini sana na nyumba zao ni nzuri sana kuliko Tanzania?
Je, kupanga bei ya kuuza nyumba kupitia madalali wasio na ujuzi wala elimu yoyote ya ardhi na...
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Aloyce Kwezi ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Hassan Suluhu kwa kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.162...
JIMBO LA IGUNGA
Tumepokea Fedha kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu ya Sekta ya Elimu kwa mchanganuo ufuatao;
Tshs. 814,900,000/- za Ujenzi wa Shule Mpya za Msingi na...
Nimetafuta raman ya nyumba simple simple nimekutana na hii naomben ushaur kwenye hii ramani
BAADA YA MAONI YA WATU NIMEKUJA NA UPDATES YA RAMANI YA PILI HII HAPA
NAYO MNAIONAJE MSICHOKE WAKUU...
Wadau naomba mnisaidie ushauri ,nina kiwanja cha sqm 1000 nawaza nikiuze au nijenge apartment ya chumba ,sebule,choo na jiko !!
Lengo la kukiuzaa nataka nibadilishe eneo nikanunue sehemu nyingne...
Hawa mafundi kuna wakati wanatia hasara sana, anaweza kukupigia makadirio ya vifaa vya kujenga, aidha kubwa sana au ndogo sana kulingana na uhalisia.
Unakuta umepigiwa gharama ya mifuko 50 ya...
Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo
.... Dirisha 30000
...nguzo 40000
... skirting 100000
..arch ya baraza 10000
... Arch ya ndani 70000
0719999526/0747618315 WhatsApp
Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo
.... Dirisha 30000
...nguzo 40000
... skirting 100000
..arch ya baraza 10000
... Arch ya ndani 70000
0719999526/0747618315 WhatsApp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.