Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina exactly eneo ila inaelezwa nyuma ya uwanja wa Ndege Tabora kuna eneo lenye zaidi ya Hekari mia nane linalomilikiwa na wananchi . Inaelezwa kwamba wananchi wameomba ilo eneo walipime wenyewe...
0 Reactions
2 Replies
591 Views
Anonymous (f37c)
Habari wakuu, Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga. Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Awali ya yote ni vyema kutambua juu ya umuhimu wa Shirika la Utangazaji la Taifa duniani kote, kwa kawaida tunapozungumzia sehemu nyeti za kitaifa kama vile makambi ya Jeshi, Jengo la Taifa...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa msiofahamu tumbaku hununuliwa na makampuni tofauti. Makampunj yaliyopewa leseni ya kununua tumbaku mkoani Tabora ni pamoja na Voedsel, Alliance One, TLTC, GTI, Mkwawa na mengine nimeyasahau...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Naandika kwa uchungu mkubwa baada ya Mke wangu kufanyiwa udhalilishaji na huyu kijana mhuni anayeitwa MALIMA ambaye ni Polisi Jamii hapa Kata ya Nala. Ni kijana ambaye anajiona yeye ni zaidi ya...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Sisi Wananchi wa Mbezi Msumi Shina Namba 7 kuna Mjumbe anaitwa Michael Meshack Mnyeke, asilimia kubwa ya Wananchi wa huku hatumtaki kutokana na tabia yake ya kuonea watu na kutumia madaraka yake...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Waziri wa TAMISEMI huyu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru akishirikiana na personal secretary(PS) wake wanawanyanyasa sana watumishi hasa walimu. Huyu PS anaficha barua ya mtumishi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana. Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Anonymous
Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi. Katika maelezo ya waziri...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze). Inadaiwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo nilifika kituo cha afya Kimara baada ya ndugu yangu kuniita nikalipie gharama ili mtoto wake apatiwe matibabu baada ya kuanguka na kuumia mguu. Picha linaanza kuingia kwa daktari, mama wa...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Waziri wa fedha na mipango Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amewaita vijana mbalimbali toka Kanda ya Ziwa na kukutana nao mkoa wa Singida mnamo tarehe 22.02.2023 kwa kile alichodai kuwa ni kumsemea mama...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao Ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa masuala kadhaa ya...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Leo ninatuma namba ya gari nikijiamini kuwa gari hiyo inamilikiwa na Tume ya madini. Huko gari liliko Kila siku linatumika kukusanya rushwa na kusumbua wachimbaji wadogo. Gari Hilo linafanya...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Ofisa Utumishi mmoja ambaye alihudumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu kwa kushirikiana na Afisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii PSSF wanaida...
11 Reactions
81 Replies
10K Views
Mikopo inayotolewa na hazina katika mkoa wa Tabora imejaaa rushwa na ukilitimba. Hii ipo zaidi katika Tabora manispaaa pamoja wilaya ya Uyui ambapo maafisa utumishi wako wazi kabisa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom