Ni ukweli usiopingika ya kuwa madhumuni ya Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola.
Chadema imekuwepo takribani miaka 30 iliyopita pamajo na uwepo wa vyama vingine vikubwa kama vile ACT...
Nawashangaa sana mnavyodai eti Watanganyika wamekataa maandamano na wanawaunga mkono nyie wauaji na mashetani.
Watanganyika kwa umoja wetu tulishatuma ujumbe Oktoba 29. Ujumbe wetu ulikuwa...
Wanaotaka Tanzania ya kabla ya Oct 29, 2025 poleni hairudi!. Sio baada ya watu kutekwa hivi, kufungwa bila sababu, vijana kusimama kwa haki na mauaji makubwa kiasi hiki. Sio wa ufisadi wa...
Jacob John Mkunda is a Tanzanian military officer who currently serves as Chief of the Tanzanian People's Defence Force since 30 June 2022.
Early life
Mkunda attended the Ruvu Secondary School...
Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari...
Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Ijumaa hii ya Desemba 12.2025 majira ya saa 08 mchana inatarajiwa kusikiliza kesi Na. 30210/2025 iliyofunguliwa na Mwanaharakati Rosemary...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amewapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 64 ya Uhuru na kuwashukuru kwa kukubali wito...
Katika dunia ya sasa yenye msukosuko wa mawazo na taarifa zinazokuja kwa kasi, tunahitaji kukumbuka mambo ya msingi.
Watu wanahitaji amani kuliko fujo, kwa sababu amani inatupa nafasi ya kuishi...
Wakuu,
Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29...
Natumia hamjambo,
Wakati serikali ya Samia ikiendelea kupigwa kila kona huku kukiwa na dalili za kusitishwa kwa misaada kwa nchi yetu ya Tanganyika.
Na kwa sasa tutambue kuwa hakuna mbadala wa...
Wakuu huu ni ukweli mchungu kiongoz kama rais sio mchezo kumtoa mzee tusijidanganye na tusifarijiane hilo jambo haliwezekan na halitowezekana kwa stail ya maandamano ya aman zaid ni kupoteza muda...
Habari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!?
Naamini mpo salama kabisa.
Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko.
Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi...
Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa...
Kwa muda sasa, tumekuwa tukiona kwenye mitandao picha na ujumbe wa aina mbalimbali wa kuhamasisha maandamano na leo mpaka karibu kabisa na kituo kimoja cha Polisi kuna matangazo hayo ya...