kagoshima JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 3,499 Reaction score 6,801 Dec 9, 2025 #1 Huko Mwanza kuna taarifa watekaji wameteka familia ikiwemo watoto miaka mitano baada ya kumkosa mlengwa mamayao
Huko Mwanza kuna taarifa watekaji wameteka familia ikiwemo watoto miaka mitano baada ya kumkosa mlengwa mamayao
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,558 Reaction score 49,937 Dec 9, 2025 #2 🤔🤔🤔
Rocky City JF-Expert Member Joined Nov 22, 2017 Posts 1,012 Reaction score 812 Dec 9, 2025 #3 Huu ni ujinga wa hari juu sana,yani Tanzania tunahitaji kupata rais atakaye kuwa na nguvu ya kukemea haya mambo
Huu ni ujinga wa hari juu sana,yani Tanzania tunahitaji kupata rais atakaye kuwa na nguvu ya kukemea haya mambo
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 4,592 Reaction score 6,234 Dec 9, 2025 #4 Acha upumbavu na upotoshaji! Mwanza wapi? Baada ya kukosa mlichokuwa mnakitafuta sasa mnaanza kubwabwaja? Hzo hela mlizokula ili mvuruge mtazitapika
Acha upumbavu na upotoshaji! Mwanza wapi? Baada ya kukosa mlichokuwa mnakitafuta sasa mnaanza kubwabwaja? Hzo hela mlizokula ili mvuruge mtazitapika
kagoshima JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 3,499 Reaction score 6,801 Dec 10, 2025 Thread starter #5 KERATO MOMBAA said: Acha upumbavu na upotoshaji! Mwanza wapi? Baada ya kukosa mlichokuwa mnakitafuta sasa mnaanza kubwabwaja? Hzo hela mlizokula ili mvuruge mtazitapika Click to expand... We ndo ngombe babu.
KERATO MOMBAA said: Acha upumbavu na upotoshaji! Mwanza wapi? Baada ya kukosa mlichokuwa mnakitafuta sasa mnaanza kubwabwaja? Hzo hela mlizokula ili mvuruge mtazitapika Click to expand... We ndo ngombe babu.
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,024 Reaction score 8,370 Dec 10, 2025 #6 Kwasasa hayo mambo ni kawaida hapa Tz serikali ime bless Jana wamenikosa kosa kdogo tu pimbi hawa!