Makosa ya Desemba 9 (liberation day )

Makosa ya Desemba 9 (liberation day )

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,881
Reaction score
3,192
Poleni na uchovu wa lockdown japo ya siku moja lakini sio utamaduni wetu so inatukera.

Mo 29 ilifanikiwa kwa ukubwa kwa sababu kuu kadhaa

Moja ilikuwa siku ya tukio la kitaifa lisilotaka watu wakae ndani lazima mtoke mkapige kura na hawawezi kuzuia mpaka muda wa kura upite ndio maana saa 12 jioni ikatangazwa hali ya kukaa ndani

Pili maazimio yale yaliwekwa wazi ilikuwa ni choma choma day na kuingia barabaran hii ilifanikiwa kwa asilimia mia

Tatu accesibility yake ilitaka waandamaji watoke ndani waende barabarani wachome matairi na kupanga mawe na magogo hivyo ikapata watu wengi maana barabara imepita kila mahali

Watu waliweza kukaa barabarani saa 6 mpaka saa 10 sababu ni karibu na makwao.

Makosa ya d9 ilikuwa ni kuwaambia watu waandamane kwa amani hakuna haki inayodaiwa kwa maandamano ya amani maandaman ya amani ni kwa ajili ya makongamano ya kanisa au msikitini tu ndio d9 ilipita kama haipp sababu ya kutaka Samia atoke kwa amani

Kosa lingine kuweka meeting poin kwamba watu woteee tukutane un hili kosa kubwa ambapo kuzuiwa kwake ni rahis kublock njia tu ndio kilichofanyika watu walitoka lakin hawakuqeza kufika un sababu ya vikwazo njian ili ufike un lazima upite uchochorin sasa mtu anatoka tegeta mpaka ofisi za un ni ngumu

Kosa lingine maandamano ya d9 ni kutokua na malengo hayakua na agemda hilo ndio kosa mo 29 agenda ilikua choma choma

Wananch wamefanya kila kitu kwa asilimia mia na bado wana nia wana roho ngumu hawakati tamaa maana wao wanachofanya ni kufuata maagizo sasa hio j12 sijui agenda ni nini

Maandamano yamefanikiwa kwa asilimia mia ukitaka kujua mafanikoo ya maandamano ni kuangalia malengo ya maandamano ni nini malengo ya m029 ni kuharibu mandamano ya d9 ni kuonesha dunia kua watanzania ni wapole na wastaarbu sio wakorofi wakifanya fujo wewe mtawala ndio mkorofi yaan ni ujumbe watu wanapenda aman hiyo ndio lilikua lengo la d9 na kubwa kukumbushia kila wanachokitaka cha samia aondoke

Shughul imeshaisha mo 29 kilichobak sasa ni kukumbushia tu ile kama hatua zisipochukuliwa inakuja kubwa zaid ya mo 29 haya yote ni mazoez na uzoefu watu wanaukusanya
 
Walipanga Maandamano tarehe ya hovyo sana.

Kuwakomesha hawa washeni ni kuweka sikukuu za kidini.
Kama Chistmars.
Mwaka mpya.
Pasaka.
Idi nk.

Wameipa selikali ushindi wa Bure kabisa
 
Na nyie mlidhamiria wizi wa kura na mkafanikiwa
Mimi sishabikii CCM wala serikali na sijawahi kupiga kura na sitowahi.

Pamoja na kutoipenda CCM ila siafiki njia za uhuni kama uliofanyika OCt 29 kufanya uharibifu , wizi na kuchoma hata Mali za raia masikini . Kama ugomvi wako ni serikali na CCM kwa nini usiende ikulu au Ofisi za CCM ?

Mimi siafiki mtu kujitoa muhanga kipuuzi , Mange mwenyewe alilinda uhai wake baada ya kupata taarifa kuwa akitoka kuandamana atauwawa
 
Maandamano yamefanikiwa sana!
.
Hadi vifaru vimetolewa nje,

Ujumbe wa genz umefika kirahisi sana kwa kutumia jeshi.

Bibi pale alipo anajua kabisa yuko pale kwa nguvu ya risasi.
 
Poleni na uchovu wa lockdown japo ya siku moja lakini sio utamaduni wetu so inatukera.

Mo 29 ilifanikiwa kwa ukubwa kwa sababu kuu kadhaa

Moja ilikuwa siku ya tukio la kitaifa lisilotaka watu wakae ndani lazima mtoke mkapige kura na hawawezi kuzuia mpaka muda wa kura upite ndio maana saa 12 jioni ikatangazwa hali ya kukaa ndani

Pili maazimio yale yaliwekwa wazi ilikuwa ni choma choma day na kuingia barabaran hii ilifanikiwa kwa asilimia mia

Tatu accesibility yake ilitaka waandamaji watoke ndani waende barabarani wachome matairi na kupanga mawe na magogo hivyo ikapata watu wengi maana barabara imepita kila mahali

Watu waliweza kukaa barabarani saa 6 mpaka saa 10 sababu ni karibu na makwao.

Makosa ya d9 ilikuwa ni kuwaambia watu waandamane kwa amani hakuna haki inayodaiwa kwa maandamano ya amani maandaman ya amani ni kwa ajili ya makongamano ya kanisa au msikitini tu ndio d9 ilipita kama haipp sababu ya kutaka Samia atoke kwa amani

Kosa lingine kuweka meeting poin kwamba watu woteee tukutane un hili kosa kubwa ambapo kuzuiwa kwake ni rahis kublock njia tu ndio kilichofanyika watu walitoka lakin hawakuqeza kufika un sababu ya vikwazo njian ili ufike un lazima upite uchochorin sasa mtu anatoka tegeta mpaka ofisi za un ni ngumu

Kosa lingine maandamano ya d9 ni kutokua na malengo hayakua na agemda hilo ndio kosa mo 29 agenda ilikua choma choma

Wananch wamefanya kila kitu kwa asilimia mia na bado wana nia wana roho ngumu hawakati tamaa maana wao wanachofanya ni kufuata maagizo sasa hio j12 sijui agenda ni nini

Maandamano yamefanikiwa kwa asilimia mia ukitaka kujua mafanikoo ya maandamano ni kuangalia malengo ya maandamano ni nini malengo ya m029 ni kuharibu mandamano ya d9 ni kuonesha dunia kua watanzania ni wapole na wastaarbu sio wakorofi wakifanya fujo wewe mtawala ndio mkorofi yaan ni ujumbe watu wanapenda aman hiyo ndio lilikua lengo la d9 na kubwa kukumbushia kila wanachokitaka cha samia aondoke

Shughul imeshaisha mo 29 kilichobak sasa ni kukumbushia tu ile kama hatua zisipochukuliwa inakuja kubwa zaid ya mo 29 haya yote ni mazoez na uzoefu watu wanaukusanya
Mtaishia kufungua manyuzi ya kipumbavu kusema mmeshinda au mmeitaarifu dunia. Lakini nia yenu ni kuvuruga na kuiba wakati wa maandamano.

Wapumbavu wakubwa mahayawani nyinyi mmedhibitiwa na vyombo vya dola.

Emdeleeni kukisikikiza nankukitajirisha hiki kimalalaya MangeKimambi
20251209_104004.jpg
 
Amani haipatikani bali kwa ncha ya upanga ,amani haiombwi inadaiwa tena kwa nguvu...haiwezekani umtoe dikteta madarakani kwa mabango au vipeperushi ,never.
 
Mo 29 ilifanikiwa kwa ukubwa kwa sababu kuu kadhaa

Pili maazimio yale yaliwekwa wazi ilikuwa ni choma choma day na kuingia barabaran hii ilifanikiwa kwa asilimia mia

Maandamano yamefanikiwa kwa asilimia mia ukitaka kujua mafanikoo ya maandamano ni kuangalia malengo ya maandamano ni nini malengo ya m029 ni kuharibu mandamano ya d9 ni kuonesha dunia kua watanzania ni wapole na wastaarbu sio wakorofi
1. Naona unajichanganya kwa kuweka maelezo yako mwenyewe yanayokinzana.
2. Ukiandika jitahidi usisahau ulichoandika awali.
3. Ukipanga malengo ya maandamano kuharibu na kuchomachoma kama unavyopendekeza, unadhani unamkomoa nani? Ilipoharibiwa miundombinu ya mwendokasi walioathirika walikuwa ni viongozi?
4. Ikiwa tuna watu kama wewe tutarajie miujiza ya Mungu ndo tufike tunakotaka kuenda.
 
Mimi na vijana wenzangu kama 6 tulikuwa tumetoka na silaha ili kwenda kulipa kisasi kwa polisccm kwa kutuulia marafiki zetu! Kuna moja wetu yeye baba ake aliuliwa siku ile ya october 29 wakati yeye akiwa kituoni! Yaani hakuhudhuria mazishi! Alikuwa na uchungu balaa! Tulikuwa tumepanga watu wakiwa wengi road tutaunga tera halafu wakianza kukimbizwa tubane chocho ili tumpata polisccm mmoja ajue kwanini tunaitwa wakurya! Sema wanatarime wakazingua! Hawakutoka!
 
Back
Top Bottom