Video: Laiti Bi Samia angesikiliza busara za aliyekuwa Waziri Mkuu wake Kassimu Majaliwa, yasingempata mabaya!

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,549
Reaction score
3,559

View: https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh
Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note:
Kassimu Majaliwa:
Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza watu wake

Kassimu Majaliwa: Hata ukilazimisha kupata nafasi hiyo, huwezi kupata kama Mungu hajasema nenda

Kassimu Majaliwa: Na wala usitumie njia yoyote kuathiri na kuumiza wengine Ili wewe upate madaraka hayo. Nani kakuambia hivyo? Umezungumza na mwenyezi Mungu kutumia njia hiyo?
--------------------------------------
My Opinions
👉Haina shaka kuwa, hii speech ilimlenga boss wake Samia Suluhu Hassan

👉Huyu mama kaumiza wengi sana kubaki Ili tu awe Rais. Angalia watu aliowateka, kuwatesa, kuvunja miguu, kuua na kufunga watu magerezani kwa kesi za uongo

👉Anamtesa Tundu Lissu gerezani pasipo HAKI wala pasipo sababu yoyote. Machozi ya mke wa Tundu Lissu na watoto yake ni risasi tosha kabisa kummaliza huyu mama

👉 Hitimisho la unyama wake eti tu kwa sbb ya "u - Rais" wake ni kuua na kumwaga damu za watoto, vijana wa kike na kiume, kina mama na kina baba zaidi ya 10,000 siku ya uchaguzi bandia wa 29/10, ndiyo gharama ya malipo ya madaraka ya Urais wake

MUNGU WETU WA MBINGUNI NA AMPE HUKUMU YA ADHABU STAHIKI SAMIA NA KIZAZI CHAKE SAWASAWA NA MATENDO YAKE. Amina🙏🙏
 
Majaliwa ana nini alichokuwa anajuwa?
 
Majaliwa ana nini alichokuwa anajuwa?
Wale mabingwa wa uchambuzi (analysis) husema ili uchambuzi uwe na maana lazima uweke mambo ambyo mwingine anaweza kusema kwa usahihi kwamba "hii siyo". Nami nasema hii siyo au hivi sivyo. Hongera kwa uchambuzi wako.
 
Back
Top Bottom