Sijui kwanini watanzania wana tabia za kusahau haraka. Tuliambiwa Rais SSH ni mwenye maoni anayeweza kuona mbali na kutenda maajabu. Tulipinga?
Si tuliamini na kuimba sifa na mashairi na tenzi...
Minong'ono ni mingi: oooh ameuawa! Mbaya nani vile? Yule!
Ndugu zanguni, kwa tunaoamini na kusoma vitabu vya Mungu (Biblia na Quran), utaelewa kwamba, miili ya nyama na damu, pasipo roho, ni sawa...
Haki ya kuishi ndio haki muhimu kuliko zote chini ya jua. Nimagonjwa pekee , ajari na hukumu za kifo zitolewazo na mahakama halali za haki vyenye uwezo wakumdhulumu binadamu uhai wake..
Kwa...
GT
Bado hakueleweki. Hapajachangamaka bado. Hang over ya maandamano inawasumbua wengi.
Ama kweli GenZ wanajua kunyoosha maCCM bado watu wanajivuta kutoka nje huku hali ya usafiri ikiwa...
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais...
Unapozungumzia Vijana wasomi na Muhimu katika kukuza na kubadirisha mitazamo ya baadhi ya wachumi ambao ni wachumia tumbo basi huto sita kumtaja Mh. Mwambe ambaye ni miongoni mwa viongozi wa...
Dah!
This guy Palamagamba Kabudi takes shilling to a whole ‘nother level!
It’s hard listening to him spew his nonsense propaganda.
Anywho, ni kipindi cha leo Al Jazeera...
1. Lengo Kuu: Kusimamisha Shughuli za Uchumi
Kwa mujibu wa hoja zinazoibuka mitandaoni, moja ya malengo ya kundi kubwa la wananchi lililokuwa likiunga mkono maandamano haya ni kuathiri mzunguko wa...
Ni nani huyo Jenista Joakim Mhagama?
Mbunge wa Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)?
Je, ni yule yule aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu katika kipindi cha mwaka 2000-2005?
Akiwa karibu...
Niwaonye tu viongozi wetu wa Sekretarieti ya Maadali kwamba, msije mkaingia mkenge huo. Kila siku akikutana na ninyi lazima ajisemeshe na kulialia, tunataka ateme ndoano kabisa
Sisi tunaokaa na...
Dini na siasa ni mifumo yenye nguvu kubwa katika kuongoza maisha ya watu. Vyote viwili vinaongoza fikra, maamuzi, na maadili ya jamii kwa njia ambazo hazionekani moja kwa moja.
Siasa hutumia dini...
Wote mnaojaribu kutushawishi "kufuta ukungu wa kioo hiki”, nadhani mmeshau kioo kilichovunjika hakifutwi, kinatupwa!
Hali ya kuota ukungu ni ile ya kosa la kibinadamu, hali ya kusahau au kuzidiwa...
Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee
2. Mange kimambi...
Ikiwa Chama CHETU kilipata kura Mil 32
Maana yake hawa ni watu wazima karibia nusu ya watz wote
Ikiwa Kazi ya mziki n.k ni ushawishi na uliwashawishi watu mil 32 je hawatoshi kusapoti muziki...
Wale waliotaka kuandamana Gz waliomba waandamane Kwa amani.
Wangeruhusiwa ingesaidia kujua wanataka Nini. Kwa namna walivyo nificha siku Ile ni sahihi kusema watatafuta Plan C.
Ikumbukwe...
Mpango kazi ni mkubwa na mpana sana.
Tuna assume shughuli za uchumi za bandari zilisimama, kuna Athari hasa ya usafirishaji.
Huu hapa chini ni Sehemu ya mpango kazi wa kumtoa Samia
Swali...
Msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania Wakazi amemjibu Mkurugenzi wa kituo cha Habari cha efmradio Majizzo baada ya Majizzo kuzungumza leo Desemba 11 na kuwaombea msamaha kwa wananchi juu ya...
Nina wasiwasi na huyu mdada inawezekana kashachukua pesa
Analeta story za maandamano tarehe 25 yaani siku ya Christmas?
Serious? Yaani watu waache kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka wafungiwe...
Mamlaka za Uhamiaji yaanza kutekeleza sheria ya kuoneshwa akaunti za Mitandao ya Kijamii ya ya wanaoingia nchini kama watembezi au kazi, wanafunzi n.k :
Ili kutii Agizo tamko la Januari 2025...