Mimi siisapoti CCM ila ni Mwafrica mwenye IQ kubwa Sana
Najiuliza na nacheka
Mange , Dangwa n.k hawa vilaza kweli wanaweza kukomboa nchi.!!!?
Mkiendele na huu ujinga wakuwasikiliza watu...
Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Soon sasa hivi wapinzani...
Wakuu poleni na pilikapilika za Mapokezi, hakika leo historia imeandikwa, sasa kwa vile mambo ni mengi na muda ni mchache naomba niingie moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya Mapokezi mazito ya...
Wakuu
Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
GTs,
Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana...
To be honest sioni potential candidate wa Chadema au UKAWA atakayeweza kuwa mgombea Urais baada ya 'kipindi' cha MAGUFULI kukamilika.
Wale vijana niliohisi wanaweza kuwa tishio mfano Tundu lissu...
Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo...
Mimi kawaida huwa nikimuona mtu yeyote anaongozwa na mihemko katika kuongea kama Jenista Mhagama alivyokuwa leo kwenye bunge la Jumapili huwa napenda kujua historia yake fupi kwani unaweza...
Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana.
Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana...
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuwaongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Jenista Joakim Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho.
Tarehe: 13.12.2025
Muda...
Zamani, akichaguliwa au kuteuliwa mtu, lazima historia na maisha yake vijulikane, familia, elimu, maadili, umri nk
Siku hizi, wanachomolewa watu wasiojulokana na kusikojulikana na kuteuliwa na...
Kwa hisani ya JUNA:
"Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama...
Badala ya kutoa taarifa, sasa Jeshi la Polisi mmejipa mamlaka ya kuombwa ruhusa ya kuandamana.
Haya, mimi Sifi Leo sifurahishwi na raha na furaha wanayokuwa nayo vijana wa Kitanzania pale...
Kutoka makala yenye episode ya arusha one radio, chanzo cha vita ni mwanajeshi wa uganda kufungwa tanzania, however katika makala za encyclopedia kuna taarifa kwamba, Nyerere alifadhili mapinduzi...
Mwandishi wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe anadaiwa kutekwa jioni ya leo maeneo ya Dar.
Hata hivyo waliomchukua wamejitambulisha kwake kuwa ni Polisi ila haijajulikana alipopelekwa...
1. Haki ya Uhai – Ibara ya 14
“Kila mtu anayo haki ya kuishi…”
Ikiwa kuna mauaji, matumizi kupita kiasi ya nguvu, au vifo visivyoeleweka vinavyotokana na vyombo vya dola—hili linagusa moja kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaja marehemu Jenista Mhagama kuwa kiongozi jasiri, mlezi wa wengi na nguzo muhimu ya matumaini kwa wanawake na vijana...
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji
Utawasikia wapumbavu
"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na...