Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amechangia Shilingi Milioni tatu katika harambee ya ujenzi wa Bwalo la Chakula na Ofisi ya Utawala katika Shule ya Msingi Jamhuri iliyopo Wilayani...
Kichwa cha habari kiko wazi. Inakuwaje watu ambao hawakuchaguliwa, kuteuliwa, au kuwa sehemu ya serikali kikatiba wanatishia Watanzania? Wamelipwa, kujituma, au kutumwa?
Je, nani anawatuma na...
By Advocate Nulphin Charles Heche
There comes a moment when a political movement must ask itself a hard question: is it still driven by ideas and principles, or has it quietly surrendered to...
Mzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha.
Miaka zaidi ya...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka...
Godfrey Tumaini, a.k.a. Dudu Baya amefunguka kwa kina akielezea jinsi Majizzo anavyonufaika na Kampeni za CCM huku akiongelea dharau za Diamond na wenzake kwa watanzania tokana na kujaa sifa za...
Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana...
Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!!
Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk...
Dhambi ile ile ya kunyima habari chombo cha Kimataifa cha Marekani na kuwatisha watoa habari, hata wewe haupo salama, unajua mengi hautabaki salama.
Siku zako ukute zinahesabika na haujaambiwa na...
Nianze Kwa kuwataka Wananchi, Hakuna Kupoa , Hakuna Kumwachia Mungu, tupambane ,tukimuomba Mungu ,Maandamano yakiendelea bila Kikomo.
Ninahisi, Msululu wa Hizi Nabiii, lengo lake ni Kupooza...
Tunaposema Mwanasheria Mkuu wa Serikali anapaswa kuwa mtu mwenye weredi ya hali ya juu katika masuala ya kisheria ziwe za madai au jinai au za kitaifa au kimataifa hatutanii, tuna maanisha kweli...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 akielezea shughuli za kiharakati zinazoendelea mitandaoni amesema...
Namsihi kila mtanzania apaze sauti yake aseme SASA IMETOSHA.
Kila kukicha ni taarifa za fulani kakamatwa, fulani katekwa, fulani huyo huyo inakuja kujulikana ameshikiliwa na jeshi la polisi kwa...
Rais Samia akiwaongoza waombolezaji kwenye ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na waziri wa zamani aliyeongoza wizara mbalimbali, Jenista Mhagama, katika Kanisa Katoliki Kiwanja...
Wakala wa Vipimo Tanzania na Zambia kushirikiana kusimamia matumizi sahihi ya vipimo
Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) na Zambia (ZMA) zimesaini mkataba wa miaka mitatu (3) wa kushirikiana katika...
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya madai ya matusi iliyokuwa ikimkabili Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, iliyofunguliwa na Harbinder Singh Sethi wa kampuni...
My people,
Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako?
Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali...
Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya...
Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Peramiho (Ruvuma) kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Jenista Mhagama Oktoba 25, 2025 wakati aliposhiriki kwenye Bonanza la Afya, wilaya ya Songea vIjijini...
Ndugu zangu Watanzania,
Marekani ipo kama ilivyo leo hii ikiwa na nguvu za aina zote kiuchumi ,kijeshi,kiteknolojia N.k. ni kazi na akili kubwa ya hali ya juu inayotokana na watu walio katika...