Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,298
- 18,438
Rais Samia akiwaongoza waombolezaji kwenye ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na waziri wa zamani aliyeongoza wizara mbalimbali, Jenista Mhagama, katika Kanisa Katoliki Kiwanja cha Ndege, jijini Dodoma, leo Desemba 13, 2025.
Jenista alifariki dunia Desemba 11, 2025, jijini Dodoma. Baada ya kuagwa, mwili wake unatarajiwa kusafirishwa hadi katika kijiji cha Ruanda, wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Desemba 16, 2025.