Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Embu muangalie waungwana...Kuna vitu vingine hata MABEBERU watakua wanatucheka na kutudharau sana na kutuita we are so poor.. Kuna vitu jamani mbona vinafanyika tukiamua? Haya basi mnakula mapesa...
3 Reactions
8 Replies
288 Views
* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na kusambaza habari eti Fulani na fulani kafa.! Halafu kesho yake wanonekana. * Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na...
7 Reactions
14 Replies
321 Views
1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa...
3 Reactions
31 Replies
755 Views
"Tumedhamiria kufanya kazi. Tumefanya kazi mmeiona na tunajiamini kwamba tutaweza kufanya tena kazi kipindi cha pili cha awamu ya sita, kazi ya kuonekana kwamaana hiyo niombe mtuchague Chama Cha...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi. Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama...
-2 Reactions
25 Replies
567 Views
Kiko wapi? walisema kikipasuka hata Kibati... 🤣🤣🤣🤣🤣
5 Reactions
10 Replies
488 Views
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania kwamba, wasiogope kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025, kwamba yeye ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi na kibati...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Nakumbusha CCM mlikataa mabadiko ya katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele mna mchango mkubwa kwa yaliyopo sasa Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za...
8 Reactions
11 Replies
482 Views
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, ametembelea mradi wa Umwagiliaji uliopo wilayani Masasi mkoani Mtwara ikiwa moja ya muendelezo wa ziara kwa Taasisi za Wizara ya kilimo ambapo...
1 Reactions
8 Replies
258 Views
Jana (December 11, 2025) Serikali ya Bulgaria ilijiuzulu kufuatia weeks za street protests dhidi sera zake za kiuchumi na kushindwa kudhibiti corruption. Nawapongeza sana Wabulgaria kwa hili. In...
8 Reactions
21 Replies
466 Views
Kwa hali hii ya maji, hili bango la kampeni ni kama kebehi kwetu sisi wananchi.
13 Reactions
21 Replies
922 Views
Kupitia mradi wa Mahindra Tec na ununuzi wa genereta kutoka Usa Januari Makamba alipiga bil 85 jumla. Huyu Angela Kiziga ndio alijichotea kabisa pesa za Watanganyika bil 60 bila hata kutoa...
11 Reactions
42 Replies
920 Views
Nay wa mitego, Rosa Ree, Wakazi, Sugu na wasanii wengine wanaosapoti upinzani wasapotiwe na makada wenzao ili wazibe pengo lililopo. Hakuna haja ya kuwalaumu wasanii waliokisapoti chama pendwa CCM...
3 Reactions
11 Replies
308 Views
Wanaukumbi. HAWA NI WENDAWAZIMU KABISA Yaani tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu wajinga sana muwe mnaelewa.. 1. Wanakataa kutambua matoke ya uchaguzi ambao hawakushiriki na...
2 Reactions
34 Replies
581 Views
Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru...
4 Reactions
5 Replies
270 Views
Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi. Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake...
36 Reactions
127 Replies
8K Views
Urais wako unakoma Oktoba 2020, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania. Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais...
113 Reactions
273 Replies
28K Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa? Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia...
12 Reactions
134 Replies
5K Views
Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma. Baada ya kuona mambo...
57 Reactions
925 Replies
76K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…