Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakusalimu Mzee, Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo. Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya...
10 Reactions
32 Replies
621 Views
Leo asubuhi Lema alitoa ushauri ufuatao wa namna ya kudili na machawa wanajibaraguza wa wanasiasa na kuacha kusimama na wananchi ambao ndiyo nguzo kuu yao: "Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight...
23 Reactions
53 Replies
2K Views
Nimeona taarifa ya tozo ya HIV katika ununuzi wa magari, sijui hii tozo kama ilipitishwa na linaloitwa bunge la JMT au hata kama ilipitishwa sijui ni lini kwa sababu nimeacha kabisa kufuatilia...
20 Reactions
50 Replies
914 Views
My people, Utangulizi: Kwanza naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa members wote ambao bila kuchoka pamoja na kutukunwa na kurushiwa maneno machafu lakini bado mmesimama imara kupigania kile...
17 Reactions
176 Replies
2K Views
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π—žπ—’π— π—•π—’, π—žπ—”π—•π—¨π——π—œ π—ͺπ—”π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—‘π—”π—œπ—•π—¨ π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π— π—žπ—¨π—¨ π—ͺ𝗔 π— π—œπ—¦π—₯π—œ, π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” 𝗬𝗔𝗠π—ͺπ—”π—šπ—œπ—ͺ𝗔 π—¦π—œπ—™π—” Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa...
0 Reactions
2 Replies
254 Views
Mabasi ya Mwendokasi yakiwa yamejipanga tayari kuhudumia abiria huko gereji Ubungo Terminal. Kazi na utu.
4 Reactions
14 Replies
497 Views
Zanzibar Yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, Zanzibar Sukuk...
0 Reactions
10 Replies
975 Views
Askofu Robert Pangani wa Kanisa la Moravian, "Nguvu kazi ya taifa ni watu, hao tukiwapoteza tunaenda wapi?"
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Kwa kweli kama kuna anayejua jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini? Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya...
14 Reactions
49 Replies
1K Views
Yawe maandamo ya Amani na siku hiyo ifanyike ibada kubwa .Tena kubwa kabisa. Baada ya maandamano mfanye ibada kubwa . Maandamano haya yawe Tanzania nzima. Muwakumbuke wote bila kubagua dini...
2 Reactions
7 Replies
268 Views
Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
1 Reactions
15 Replies
515 Views
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu...
39 Reactions
160 Replies
5K Views
Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani =============== Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Wanaukumbi. KUONGEA KUHUSU NINI? Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa...
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Ukitaka uweze kuwa relevant don't speak soft Ila ongea ukweli tu. Tumefanya Sana siasa za unafiki, uongo na uhuni . tumewasabishia vijana matatizo makubwa Ila sasa tunakomesha , Vyama vyote...
5 Reactions
16 Replies
387 Views
Habari ndugu zangu wanajamvi. Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga. Walinieleza kuwa...
28 Reactions
57 Replies
2K Views
Alipo kufa Magufuli mwanae amepewa ZAWADI ya ubunge, Akifa Kikwete Leo hii mwanae tayari yupo bungeni. Akifa RAIS Samia mambo yapo tayari bungeni. Alikufa Lowasa mwanae akapewa ubunge, ila this...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Hapo vip!! Mama Tibaijuka binafsi mimi sio mtu ambaye napenda sana kufuatiliaaga mambo yako wala kukufahamu sana ila leo nashangaa nimeota ndoto juu yako. Nimeota like kama umetengenezewa kesi...
1 Reactions
3 Replies
330 Views
Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma. "Kwa...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…