Sidhani kama Chadema walikimbia uchaguzi kwa shinikizo la watu wa nje. Hii sio kweli kabisa.
Takwa kubwa lilikuwa ni kupata katiba mpya ambayo ingeweza kuleta mazingira ya kutokuwa na udanganyifu...
Hamjambo wote!
1. Leo majira ya jioni nilikuwa natembea kandokando ya morogoro Road kutokea Kimara Korogwe mpaka Ubungo Flyover.
2. Naona kazi inafanyika. Na inaenda vizuri Sana.
3. Ingawaje...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika...
My people,
Utangulizi
Uhuru wa kutoa maoni na mawazo unaenda sambamba pamoja na kusikiliza maoni na mawazo ya watu wengine, si mwenye busara mwenye kutaka kusikilizwa tu, bali mwenye busara ni...
Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa...
Naweza kusema tumesahaulika ila taathira yetu ni kubwa mno japo inaenda taratibu mno.
Wewe tuweke unapo taka baina ya haya makundi mawili,ukituweka wa kwanza sawa,ukituweka wa pili sawa,na...
Salaam Wakuu,
Hapa chini nimewawekea hotuba nzima ya Luhaga Mpina bila kuchakachua kitu.
Angalizo, hii Hotuba ilitolewa tarehe 27 Oktoba, lakini Document ya hotuba imetoka leo. Naipost hapa...
Hamjambo wote!
1. Tangu November mwezi uliopita mpaka Leo hii. Kila pages inayobeba utambulisho wa jeshi la nchi yetu. Huko mtandaoni inapitia kipindi kigumu kutoka kwa wachangiaji wa maoni yenye...
Uovu hata ulindwe namna gani, hauwezi kudumu.
Utawala wa makaburu ulikuwa na kila kitu, kuanzia silaha, tekinolojia, vituo vya tafiti za kisayansi mpaka utajiri wa pesa. Makaburu walifanya tafiti...
BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limesema kuwa linaunga mkono tamko la Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche, la kupinga uchaguzi mkuu wa 2025 na kueleza...
Tanzania ya sasa sio sehemu salama kwa mtu yoyote, ukikamatwa na polisi wanaweza kukuuwa na wasifanywe chochote mageuzi ni lazima.
Lazima tuandamane kudai uhuru na haki, na uwajibikaji.
Tangu Camilius Wambura akiwa ZCO pale Dar (enzi za Magufuli), vitendo vya utekaji vilishika kasi.
IGP wa wakati huo alijitahidi kudhibiti, lakini wapi. ZCO wa wakati huo (Wambura) alikuwa kwenye...
Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa...
Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao.
Toka amewekwa gerezani...
Hakikisha nyumbani ukosi kichupa chenye asidi
Hakikisha nyumbani ukosi mafuta ya petrol
Tengeneza kabati maarumu Kama zile za kutunza mithihani shule weka vifaa vyako pale.
Hakikisha nyumba...
Hakuna matamko wala maandamano ya kuunga mkono hotuba za rais wala kazi za rais. CCM wote wapo kimyaaaaa! Na wengine wameanzisha kampeni ya kuchoma kofia, baiskeli na t-shirts za ccm.
Hata ndani...
Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe.
Tunapinga vikali watu wote wanaofanya mauwaji na utekaji...
Historia ya kagame inaonyesha tokea tangu mtoto kua mkimbizi nchini uganda. Kwa watu waliyomjua walipokuja tanzania na museveni baada ya kua mkimbizi tena tanzania alipokua anapata mafunzo ya...
Naona Mwigulu hajui afanye nini yupo anafanya kazi kama machawa na vijana wa UVCCM,
Hajatambua ukubwa wa cheo chake kitaifa na kimataifa
1. Kufanya majukumu ya Rais katika kazi maalum (ibara ya...