Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu. Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na...
1 Reactions
0 Replies
195 Views
Kwa hali hii Rais anasimama anauliza vijana waliandamana kudai haki gani? Matukio ya utekaji na watu kupotea kwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana limeanza kukemewa hata kabla ya uchaguzi na hii...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Sehemu ya video inaonyesha ndugu wa kijana anayetuhumiwa kwa uhaini kutokana na tuhuma za kuhamasisha maandamano. Katika video hiyo, ni dada wa mtuhumiwa anayeonekana akieleza kuwa mdogo wake...
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Za asubuhi Sisi wengine umri wetu ni mdogo sana na tunapenda maendeleo na amani kwenye nchi yetu itawale na tupate mafanikio na kutimiza ndoto zetu kama nyinyi wazee na viongozi vijana mliopo...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Hali bado ni tete mtaani. Polisi wakishirikiana na wajumbe wa Serikali za Mitaa wanawinda watu, hasa vijana wa kiume, usiku wakiwa wamelala. Mbaya zaidi wanabeba kila mtu bila kujali lolote, na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wake wa Facebook mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba Chacha ameandika: Nataka niingie kwenye rekodi. Ili hata siku mtakapokuja kuniua, ibaki kwenye...
14 Reactions
105 Replies
4K Views
Unajua vitu vingine vinapita kichwani halafu unajiuliza kama vimepita. Kwanini inaonekana kama Samia anatafuta pa kushikilia? Ni kama hajajua mahali pa kutokea.. Au ndio ule msemo wa...
48 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakili Peter Madeleka, akiwa kwenye mjadala wa Jambo TV ulioangazia matukio yaliyotokea kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, amesema tathmini yake inaonesha kwamba watu...
0 Reactions
6 Replies
299 Views
Kada wa chama cha ACT Wazalendo, Wakili Peter Madeleka, amesema anaiamini kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyoeleza kuwa vurugu za Oktoba 29 hazikuhusisha vijana wa Tanzania, akisisitiza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetaka kuundwa kwa Tume ya Ukweli, Uwajibikaji na Upatanishi akisema ndiyo njia pekee ya kulivusha taifa kutoka katika mgawanyiko mkubwa...
1 Reactions
1 Replies
186 Views
Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa...
15 Reactions
52 Replies
2K Views
  • Featured
Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa...
10 Reactions
218 Replies
10K Views
Katika hotuba zote za hivi jaribuni, Samia Suluhu Hassan,ambaye ni Rais aliyechaguliwa kwenye Uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu nyingi, na kutokea MAUAJI makubwa ya Watanzania ameonekana kutoa...
9 Reactions
11 Replies
508 Views
Wakuu, Kwani ule waraka wa TEC mimi niliusoma vibaya? Mbona jamaa wamechukua ule ujumbe kama ni vita hivi Alichozungumza huyu Sheikh ni hiki "Kuanzia kesho tunaanza taarifa rasmi kwa wahadhiri...
3 Reactions
66 Replies
2K Views
Huwezi kuua watu kwa maelfu alafu akili ikawa sawa. Sio kanuni ya kibinadamu, ni kanuni ya Mungu kuwa damu ya mtu huwa inalia na kunena. Alianza kusema walioandamana ni vijana kutoka nje ya...
19 Reactions
26 Replies
718 Views
Kwa kuwa CHADEMA imetajwa wakati wa uzinduzi wa tume ya kiserikali kuchunguza matukio ya October 29 Itakuwa ni vyema CHADEMA waombe kukutana na tume hiyo ya uchunguzi iliyoundwa na Samia...
2 Reactions
14 Replies
444 Views
Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana na hii imetokana na serikali imekuwa ikipoka mchakato wa wananchi. Watu wamelalamika na mifumo ya uchaguzi tangu 1995 ambapo Mrema aliliamika...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona. Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha...
27 Reactions
81 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu ametuma ujumbe kutoka Gerezani ukonga, akibainisha kuwa hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Aidha, amesema hakuna haki bila amani. Ujumbe huu...
40 Reactions
167 Replies
4K Views
Eti Wakuu, Katuni ya DW si imesa kwenye mshono? Kwa maelezo yale aliyotoa Rais Samia, Tume ya Uchunguzi inaenda kufanya kazi gani? Maana inaonekana majibu yoteeee wanayo, si wangepunguza...
4 Reactions
6 Replies
327 Views
Back
Top Bottom