Mange Kimambi, ambaye serikali kupitia Mwanasheria Mkuu ilisema ame "engineer" maandamano, amekataa maridhiano kwa kauli kali.
Kwa ushauri wangu, ujumbe wa serikali kuongea na Mange ujumuishe watu wenye heshma na credibility kutoka nje ya serikali. Uwe wa watu wasionuka damu. Hapo panaweza pakawa pa kuanzia.