Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna vita bila kiongozi Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa...
4 Reactions
83 Replies
1K Views
Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na...
2 Reactions
46 Replies
1K Views
Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi. TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu. Mfano Dp World kupewa usimamizi wa...
5 Reactions
8 Replies
323 Views
Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda. Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda. Rais Samia hatua...
41 Reactions
103 Replies
6K Views
MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala...
36 Reactions
55 Replies
4K Views
Wakuu Inaelezwa kuwa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki hapa nchini wamemvaa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima, na kumtaka kujitokeza kufafanua ni kwanini...
7 Reactions
72 Replies
5K Views
Wanabodi Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo Bunge la 12, linatarajiwa kuvunjwa hivi karibuni, hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani...
27 Reactions
95 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya zote 5 kipanga ratiba ya Zoezi la Usafi kila Wiki Ili kupambana na maradhi ya maambukizi Chalamila amesema amesikia kuna baadhi...
7 Reactions
14 Replies
855 Views
Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji...
10 Reactions
60 Replies
3K Views
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Nimeambiwa kuwa nafuatiliwa - sijui kwa lengo gani, lakini naamini niko salama. Mnaoniuliza msiwe na shaka. Kama nikiitwa TAKUKURU, Tume ya maadili, polisi n.k. siyo mambo ya ajabu, huko ni mahala...
16 Reactions
67 Replies
5K Views
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu. Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na...
12 Reactions
122 Replies
7K Views
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa. Soma Pia...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
33 Reactions
122 Replies
8K Views
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi...
2 Reactions
109 Replies
6K Views
Wakuu, Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge! Makamba naye alitoa boko lake...
7 Reactions
36 Replies
5K Views
My Take Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇 === Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa...
47 Reactions
745 Replies
66K Views
Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine...
6 Reactions
143 Replies
8K Views
Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi. Anachofanya Samia ni...
21 Reactions
136 Replies
6K Views
Back
Top Bottom