Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama. Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa...
7 Reactions
25 Replies
612 Views
Wakuu, Nilipita sehemu leo (uswahilini) nikakuta wamama watu wazima wanazungumzia kuhusu uteuzi mpya uliofanywa hivi karibuni kwenye baraza la mawaziri Yaani ni wanatoa nondo balaa. Wengine...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Unajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau. Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala...
5 Reactions
18 Replies
837 Views
Kwa taarifa yenu ni kuwa sehemu kubwa ya Madini nchini yako mikononi mwa Makada wa CCM. Ndiyo maana tunataka katiba mpya, tume ya maadili na mali za viongozi haifanyi kazi
6 Reactions
9 Replies
238 Views
Hakuna wakati nime-appreciate uwezo wa kuona mbali wa Julius Nyerere kama wakati huu. Huko nyuma nchi kama USA na Russia waliomba waweke vituo vya kijeshi Tanzania na Nyerere alikataa katakata...
0 Reactions
8 Replies
712 Views
Wakuu Huyu hapa Gwajima anaelezea bila kificho kuwa kwenye ule mkesha wa mwaka mpya wakati wanakagua baadhi ya waumini walikutwa na bastola Hao "waumini" walipoulizwa kwanini wana bastola...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama...
2 Reactions
42 Replies
918 Views
Mwandambo Clemence anasimulia namna alivyokamatwa na Jeshi la Polisi Jijini Mbeya.
2 Reactions
9 Replies
532 Views
Madomo zege hawawezagi kutongoza wao hutumia kumwaga pesa na kuonesha mikogo ya kila aina.. Ufahari usio kipimo chap Domo zege yuko tayari kunuka madeni ili aoneshe uwezo na ukwasi.. Bingwa wa...
15 Reactions
32 Replies
737 Views
Bodi ya Mamlaka ya bandari nchini imekubaliana kutohuisha mkataba wa kampuni ya kupakua na kupakia makontena bandarini ya TICTS na badala yake itatafuta muwekezaji mwingine. Chanzo cha taarifa...
10 Reactions
218 Replies
20K Views
Hamjambo! 1. Kuna mambo yanafurahisha Sana nchi hii. 2. Wapo watu waliokuwa wafuasi wa Mwandambo Mzee wa nachoka kabisa. 3. Kuna watu ni wafanya vichekesho, vituko, content creator. Sasa ni...
2 Reactions
3 Replies
293 Views
DeletedMember281674
Hii nchi tunapoelekea Sasa siyo, Kuna script imeandikwa kuwa wale waliomshambulia dada mkatoliki fake wamtaje Padri Kitima ndiyo kawatuma, na wajitambulishe kuwa wao ni waumini wa Katoliki vigango...
20 Reactions
53 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kukata tamaa kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa silaha...
1 Reactions
2 Replies
165 Views
Akiwa safarini kuelekea mkoani Singida, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mnada wa mifugo wa Igunga mkoani Tabora ambapo amebaini changamoto ya aliyekuwa...
5 Reactions
13 Replies
375 Views
Mwezi April 2021, Baada ya dakika chache tu ya kufariki Rais Magufuli aliyekuwa mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli bwana Job Ndugai aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala kidikteta Tanzania...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alimuahidi Kila aina ya Cheo Lakini alimkatalia Source Jambo TV Lucas Mwashambwa muulize aliahidiwa hadi ucdf...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
“Father Kitima siyo mshauri wa Chadema kama anavyosema Mchange, Uwezo wa Mchange wa kufikiri ni Mdogo hivyo mpuuzeni” Adv. Matata
1 Reactions
3 Replies
218 Views
Back
Top Bottom