Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://youtu.be/tN1-smB7nOo?si=j1dEU9tUQi1fNu2N Anasema: 1. Ameamua kutoka huko ili kuungana na wapigania haki wengine kuipigania haki, demokrasia na utawala bora Tanzania 2. Haoni chama...
7 Reactions
17 Replies
331 Views
Leo ndio nimesikiliza vizuri Namba 2 alipoongelea katiba mpya huku akisisitiza watu wapambane. Kama aliyoyaongea yana ukweli, basi kuna watu wamemdhibiti Namba 1 ingawa nae anaonyesha udhaifu...
11 Reactions
22 Replies
540 Views
Siku ile aliyotoa hotuba Dr. Nchimbi kwamba Watanzania wapiganie Katiba mpya, sikumwelewa vizuri, lakini kwa sasa nadhani nimemwelewa kwa kwa asilimia kubwa. Mambo makuu matatu aliyoyasema ambayo...
3 Reactions
6 Replies
255 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, ikiwa ni mada mwendelezo wa Kufuatia Kuteuliwa kwa Hisani, Baadhi Wanashindwa Kutenda Haki Kuepuka Utovu wa Fadhila...
12 Reactions
46 Replies
808 Views
Hivi maana ya Jela nini? Klni kutunza Wahalifu tu?. Nategemea Gereza iwe sehem ya kurekebisha Watu . Umemkamata na Bangi Kilo Moja, Huyu labda ilikua kwa matumizi yake binafsi, na hata kama...
10 Reactions
23 Replies
538 Views
Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi. Ukiingia kwenye kila mtandao...
1 Reactions
13 Replies
196 Views
Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia kikomo cha uhalali wake mwezi Oktoba mwaka huu, na hivyo Watanzania...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
KATOLIKI niliwahi waambia, Kosa mlofanya mkapelekea MAGUFULI kuondolewa, lisijirudie . Magufuli hata kama alikosea, ila hakuligusa KANISA Wala RASIMALI ZA NCHI. Licha ya makosa yake Madogo, Bado...
8 Reactions
32 Replies
517 Views
"Stop, O People, that I may give you ten rules for your guidance, in the battlefield. Do not commit treachery or deviate from the right path. You must not mutilate dead bodies. Neither kill a...
19 Reactions
60 Replies
3K Views
-Hao wanaomiliki kadi za ccm huko vyombo vya usalama na ulinzi hao ndio wamejifanya kuwa chama cha mapinduzi -hao ndio wanapigana kufa na kupona ccm iendelee ku exist -wengi wao ni wanachama na...
1 Reactions
2 Replies
88 Views
  • Featured
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea tamko kutoka kwa Jumuiya ya Madola linaloitaka kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ndani ya siku 30...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Taifa limekuwa kama taifa la Afrika kusini wakati wa utawala wa makaburu. Yaani mtu hana haki ya kufanya critical analysis hata kama ni msomi. Haki ya maandamano ipo kikatiba. Mwalimu akiwa...
9 Reactions
27 Replies
381 Views
Mtu ana Waumini hata Mia hawafiki, anaendesha Magari ya Million 300+ , anajipost anachezea Pesaaaa . Ukweli ni Kua, Hakuna Mtumishi wa Mungu ambaye ana Mungu anayeweza jisifu juu ya Mali zake...
3 Reactions
14 Replies
182 Views
Najiuliza tu, what if sinema ya BWANA JELA vs LISSU jana ni mbinu ya Samia na serikali yake kukabiliana na tamko/matakwa ya Jumuiya ya Madola?? Sio siri kwamba hawana uhalali wowote wakumshikilia...
10 Reactions
20 Replies
856 Views
FEDHA ZA MARATHON ZILETE TIJA KWA WALENGWA ~ Dkt. MWIGULU ▪️Serikali kuendelea kuboresha miundombinu wezeshi Mkoani Dodoma. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka wizara na taasisi...
1 Reactions
2 Replies
81 Views
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Mwaipopo. Kwanza napenda kukusalimu kwa heshima na upendo wa Kiislamu. Nakuandikia barua hii si kwa chuki wala nia ya kukushusha hadhi, bali...
12 Reactions
36 Replies
722 Views
Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X: "Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA...
7 Reactions
21 Replies
386 Views
Wanabodi Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Leo Ili Kupata Majaji Watenda Haki, Tuachane na Majaji wa Hisani, Majaji Akiwemo Jaji Mkuu, Waombe Kazi, Wasailiwe, Wenye Uwezo Ndio...
4 Reactions
7 Replies
307 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila siku za Jumatatu, huwaletea makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambayo huchapishwa na gazeti la Nipashe la Jumapili, ambazo ziko kwa mtindo wa maswali, majibu ya...
10 Reactions
97 Replies
9K Views
Wakili madeleka amefunguka sababu ya yeye kutoka Chadema, ikiwa ni baada ya kuhama na kuwa mwanachama wa ACT Wazalendo
1 Reactions
8 Replies
575 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…