Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tundu Lissu: kesi ina siku zaidi ya 307 lakini imesikilizwa tu siku 14 kati ya siku hizo zote kuna kitu hakiko sawa.
11 Reactions
56 Replies
961 Views
YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report)...
3 Reactions
5 Replies
298 Views
DeletedMember281674
Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Yupo Naibu waziri Mmoja anatembea sana KUKAGUA miradi ya Maendeleo anatokea tamisemi anakauli yake utasikia. Kwa niaba ya Mh Rais, na kwa niaba ya waziri wa tamisemi anamtaja kwa cheo kwanza hapo...
3 Reactions
7 Replies
245 Views
Wakuu, Msemaji wa Serikali na Katibu mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo Gerson Msigwa afafanua ukweli kuhusu taarifa ambazo zinaeleza kuwa uwanja wa Arusha umekosa hela za...
3 Reactions
16 Replies
535 Views
https://www.youtube.com/watch?v=qNSa_QV1MuI
1 Reactions
1 Replies
149 Views
Mimi sifi Leo SI muumini wa majungu kamwe, Mh Nanauka Joel ni mwanasiasa mzuri sana aliyetengenezwa na mfumo kinzani wa ccm ambao unasuffer sana katika TAIFA la Tanzania. Yaani ni mfumo pekee...
1 Reactions
2 Replies
194 Views
Habari Tanzania ! Nimefurahi kuona Mtanzania ambaye ni Mwakilishi wa watu wa Kigoma Mjini - ndugu, Revocatus Chipando kwa namna anavyopambana na Uchumi Jamii ( Social - Economic Hub). Mimi kama...
1 Reactions
1 Replies
203 Views
Hakuna maumivu makubwa zaidi kuliko kumpoteza mpendwa baada ya wiki au miezi kadhaa hospitalini, ukiendelea kuishi kwa tumaini dhaifu, halafu kifo kinakuja mwishoni mwa kipindi hicho kirefu cha...
1 Reactions
4 Replies
187 Views
Ukiwasikia wabongo wamemkataa huyu Mama Kizimkazi ndio hii yani mtu yeyote atakayemuunga mkono basi raia watamvaaa vibaya kama haliyokutana nayo Tyrese. Na wabongo wanatupa maneno ya kiswahili...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Tabia ya Jeshi la polisi kukana kumshikilia mtu hadi watu wapige kelele au watishie kugoma au kuandamana ni Utekaji. Sheria inataka unapo mkamata mtu, moja ya haki yake ya msingi ni kuwasiliana...
4 Reactions
9 Replies
291 Views
  • Redirect
Watajuta na kukoma kuzaliwa? Laana ya Afrika mpaka kesho kutwa!
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakati wa awamu ya Kikwete nakumbuka kuna wazo lilikuwa linafanyiwa kazi la kuanzishwa kwa Tanzania's Sovereign Wealth Fund ili mapato mbalimbali ya serikali, hasa kutoka kwenye sekta za mafuta na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Dr. Vernon Fernandes, akiwa Madhabahuni mbele ya Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, amesema mara kadhaa kuwa Kanisa la...
2 Reactions
6 Replies
407 Views
Polisi ni kuvaa kininja na mambo kama hayo. Huyu anahatarisha ajira yake na cheo chake.
4 Reactions
14 Replies
566 Views
Tizama watu walivyo na furaha utafikiri wapo kwenye sherehe kumbe sehemu ya hukumu.
11 Reactions
24 Replies
806 Views
Rais Samia Suluhu, akizungumza katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 7, 2026, amesema katika mazungumzo yake na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameiomba Serikali ya Uganda...
2 Reactions
12 Replies
547 Views
Hakuna hata kwa nchi za Kiafrica Serikali inayo promote Uchuuzi, ni Tanzania pekee ndio kuna hii Sera ya kupromote kwa nguvu sana uchuuzi/umachinga Serikali zote Duniani zinatamani Raia wao...
8 Reactions
6 Replies
249 Views
Naendelea kushanga sana jinsi nchi ile ilivyoharibika na kuharibiwa Kwa maslahi ya kulinda mtu mmoja tu Muhimili wa bunge wenyewe ulishakatiwa tamaa muda mrefu maana muda mwingi wenyewe ni...
8 Reactions
16 Replies
382 Views
Back
Top Bottom