Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu
0 Reactions
7 Replies
254 Views
Angalia Kizza Besigye anavyohangaika gerezani bila hata kuhukumiwa. Hapa Tanzania Lissu anateswa ili aweze kuwasujudia watawala na kuunga mkono ufisadi wao kama alivyokuwa Mbowe. Lissu amekataa...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Kama alitaka kupotosha mahakama Nia yake nini Kwa mshitakiwa Inakuwaje NENO dogo kama Hilo Jaji anakosa uaminifu je vipi kuhusu hukumu ya kesi yenyewe Inakuwaje mifumo mikubwa inayoiminika...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=D7Mr4uLn7tQ Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amekemea vikali madai yanayosema viongozi wa chama hicho, akiwemo yeye na Makamu Mwenyekiti Bara...
3 Reactions
2 Replies
337 Views
Wimbo wa maridhiano umekuwa ukisikika masikioni mwa Watanzania kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Hata hivyo, hadi sasa umebaki kuwa kitendawili kinachohitaji kuteguliwa...
0 Reactions
2 Replies
253 Views
Vyovyote itakavyokuwa kuhusiana na Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni lazima Jamhuri ya Tanganyika iwe na serikali yake inayojitegemea na kamili. Kwa siku za karibuni, Mkuu wa Dola...
1 Reactions
1 Replies
161 Views
Ninataka kuona Mnara kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025. Watu wengi wamekufa wengi wamepotezwa. Majina yao yatakuwa hadharani. Nimemuandikia Barua Waziri wa Vijana ila bado hajajibu...
6 Reactions
30 Replies
481 Views
Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani. Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na...
7 Reactions
21 Replies
762 Views
Rais Samia, akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 9 Februari 2026, amesema: "Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti...
1 Reactions
49 Replies
2K Views
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, ameeleza kutoridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliotupilia mbali...
1 Reactions
3 Replies
330 Views
  • Redirect
Mimi napambana na wananchi, wananikera sana kunikosoa, na mimi mtu ukinisema lazima nikujibu hivyo hivyo kwa kubwatuka. - Samia. Siwezi sikiliza ushauri wa wataalamu IKULU, haya mambo siwezi...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Nimeona drama za.leo na mapingamizi ya Lisu. Hakuna mahakama na hivyo hakuna hukumu wala uamuzi mdogo wa mapingamizi. Wanapoteza muda, maana so called Judges hawawezi kuandika hukumu. Hukumu...
5 Reactions
– Replies
– Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Februari 18, 2026, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi yaliyowekwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
3 Reactions
3 Replies
794 Views
Samia wewe ni Rais lakini pia ni mama huku Makurunge kata ya kiluvya madukani katika wilaya ya kisarawe mkoa wa Pwani wanawake na mabinti wanapitia madhila ya kuvamiwa katika nyumba zao na vijana...
8 Reactions
62 Replies
1K Views
  • Redirect
Kesi ya lissu: Majaji wapitisha shahidi asikilizwe kwa kufichwa bila wao wenyewe kumuona kinyume cha sheria ni shinikizo la serikali haramu
0 Reactions
– Replies
– Views
Kijana wa watu anakumbana na ulaghai wa hali ya juu pindi wanapoonana na baadhi ya wafuasi. Wanamuonyesha kuwa walikuwa hawalali, hawali, hawahemi, kunywa bia wala kujamiana wakimuaza Lissu huko...
1 Reactions
14 Replies
429 Views
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe akijibu maswali ya Waandishi wa Habari Februari 10, 2026 wakati akitoa taarifa kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini...
2 Reactions
1 Replies
297 Views
Tumechoshwa sana na mizigo mingi na mikubwa tuliyolimbikiziwa wananchi 1. Kodi ya aridhi 2. Kodi ya majengo 3. Lesen 4.kodi kwenye luku 5. Kodi ya miamala ya fedha 6.kodi ya...
0 Reactions
2 Replies
163 Views
Back
Top Bottom