Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

11 February 2026 Dr. Mambosasa afunguka kuhusu askari wanaokengeuka https://m.youtube.com/watch?v=lUsH2nk4zVQ Aullizwa kwanini raia wanakimbia wakiona Defender ya Polisi ? DCP Mambosasa anasema...
0 Reactions
3 Replies
373 Views
Warumi 13 Neno: Bibilia Takatifu Kutii Mamlaka 13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2...
1 Reactions
15 Replies
755 Views
Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo...
0 Reactions
8 Replies
437 Views
Bila shaka kila mtu ameona nini kitatokea Iwapo tukiwapa madaraka makubwa watu kutoka Kanda ya ziwa maana tumeona mtu kama mwendazake alipewa madaraka makubwa tumeona alichokuwa anafanya yaani...
4 Reactions
15 Replies
535 Views
Viongozi mbali mbali walipoingia madarakani kwa kulazimisha baada ya kuondoa tawala dhalimu waliishia kuwafunga, kuwanyonga au kuwafukuza kazi na kwa filisi bira huruma wenye vyeo nilio wataja...
4 Reactions
11 Replies
357 Views
Mahakama Kuu ya Zambia, Kitengo cha makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi, imetaifisha mali za Dalitso Lungu, mtoto wa kiume wa aliyekuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Edgar Lungu. Hukumu hiyo...
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Weka kumbukumbu nzuri isiyo ya uonevu. Kipindi hiki toka Jiwe mpaka hapooooooo, weka kimbukumbu. Hata vizazi vyao walioshiriki kikamilifu kuiuza Tanganyika na wanufaika, will pay the price!
6 Reactions
30 Replies
482 Views
04 December 2025 GENEVA – UN human rights experts* today condemned reported widespread and systematic human rights violations in Tanzania following the general elections on 29 October 2025...
0 Reactions
28 Replies
804 Views
Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa...
16 Reactions
31 Replies
494 Views
Inaonyesha hutuna tena mfumo ulio huru KUSIMAMIA haki za raia wa nchi hii Kwa uhuru Hii ni hatari kubwa sana kwa taifa lolote duniani lisilokuwa na mifumo imara ya kutetea haki za raia wake Siku...
10 Reactions
14 Replies
468 Views
Kwa mda mwingi wananchi walifungwa mdomo wa kuwasemea baada ya Tundu Lissu kufungwa,Chadema kusimamishwa wasifanye mikutano,Heche naye kufungwa na wapendwa wetu kuuwa kama mbwa,sasa moto unaenda...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Siasa za makundi na kushindwa kusoma alama za nyakati ndio vinatajwa kuwa sababu ya mikosi anayopata aliyekuwa Mbunge wa Ukonga na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa...
7 Reactions
4 Replies
669 Views
Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa...
3 Reactions
68 Replies
2K Views
Vyama vya Siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na kufanyika mjini Morogoro, huku CHADEMA ikiwa...
2 Reactions
11 Replies
408 Views
kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
“Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo” Habibu Mchange. Naomba kuuliza wataalamu wa mambo...
3 Reactions
14 Replies
316 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 ameelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ambapo anatarajiwa kuzindua na kukabidhi Miundombinu ya Utalii.
1 Reactions
6 Replies
164 Views
Hivi kweli ninyi wote mmekubaliana na huo mkataba wa kuuza bandari? Bandari ndio mali kubwa tuliyobakiwa nayo sasa, nchi zote zilizotuzunguka zinatupa heshima sababu zinategemea bandari zetu...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
09 February 2026 UETCL mradi wa dola milioni 250 kutoka Benki ya Dunia, kupeleka umeme Tanzania waanza Kampuni ya Usambazaji wa Umeme ya Uganda Limited UETCL imeanza mchakato wa ununuzi wa laini...
3 Reactions
30 Replies
795 Views
Back
Top Bottom