Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 465
- 313
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 ameelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ambapo anatarajiwa kuzindua na kukabidhi Miundombinu ya Utalii.
Kwani ulitegemea itakuwa milele.Ile royal tour iliishia wapi
Impacts zake zilikuwa zipo?Kwani ulitegemea itakuwa milele.
Advartisement inakuwa kwa muda tu.
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 ameelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ambapo anatarajiwa kuzindua na kukabidhi Miundombinu ya Utalii.