WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA SINGAPORE NCHINI WAJADILI UMUHIMU WA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit...
Kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi mkuu kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3, 2025 kumesababisha hasara inayofikia zaidi ya dola milioni 250, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 637.8
Hayo...
Wakuu,
Nauliza tu
Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno
Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini...
Wakuu,
Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati...
Nimekuwa siku zote nikisema SOMENI ndugu zangu. Mtu mwenye elimu kamwe hawezi kuendeshwa na failure.
Kanisa katoliki ndio baba wa imani na ni merits kwa nchi ya TZ . Tujivunie…. Dini zote ni...
Nimeona wengi wa wananchi wakipongeza kauli ya Nchimbi kuhusu conflicts za vyama. Na hii ndo kawaida ya wanongo kuingia king kwa Mkono wa kushoto. Binafsi napinga maana kama ni kelele zilipigwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake, Bi. Veronica Nduva, tarehe 28...
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.Jana tumempumzisha kwenye makao yake ya milele, katika makaburi ya Pugu, Mpendwa wetu, Mwadhama Polycarp, Cardinali Pengo...
Credit kwa Pascal Mayalla
Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi...
Dr nchimbi Leo akiwa kwenye mazishi ya Kardinali pengo alipata fursa hadhimu ya kutoa nenoa fursa ambayo Dr Samia alinyimwa live Jana
Moja ya kauli ni kuwa anachukizwa na ugomvi wa VYAMA vya...
Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu?
Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu...
Kuanzia ngazi zote CCM huwa wanatumi mabavu kuleta ghasia na kunyanyasa wapinzani kwa kutumia jeshi la Polisi na mahakama.
Angalia zile vurugu alizofanyiwa Heche alipokuwa Igunga.
Kamata...
Aliyekuwa mgombea ubunge wa viti maalumu kupitia Umoja wa Wazazi wa CCM, Olivia Chagula, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 kushiriki uchaguzi mkuu kwa kupiga kura bila hofu...
Rafiki yetu kindaki ndaki Iran amepoteza Kiongozi wao Ayatollah Khamenei. Hivyo wizara imuandalie safari Mstaafu
maarufu ya kwenda kutuwakilisha kwenye mazishi huko Tehran
Kanisa la Roman Catholic linajitosheleza kwa kila idara lina kitengo cha ujasusi The Jesuit lina benki yake Bank of Vatican, lina miradi mikubwa dunia nzima, uchumi wake Tanzania ikasome...
WAZIRI MKUU ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA MANYARA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 1, 2026 ametembelea Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara na kusalimiana na viongozi wa...
Mliwafungia miezi 3 , wametiii sheria bila shuruti, sasa tatizo liko wapi?
Tueleze na sisi umma tujue tatizo ni nini!? Hii ni very very important news outlet kwa Tanzania na dunia kwa ujumla kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.