Tundu Antipasy Mughway Lisuu
1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako
2...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kuwapangia vituo mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Wizara yake na taasisi zilizo chini ya Wizara...
Kwa wanaojua kinachoendelea kuhusiana na kashfa ya ngono na uzinzi za Tramp hata Netanyahu, wanajua ni kwanini Marekani na Israel wanashambulia wenzao. Nadhani Trump ametumia hii kuepusha madhara...
Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!
Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga...
Ukikoswa koswa kuchambwa na samia unaangukia kwa mwigulu. Huyu anachamba balaa kama dada yake tu. Naona anayetia Doa ni Nchimbi huyu naona anaongea kwa utulivu mkubwa sana
Samia ni kiboko kwa...
Hoja ya msingi wanatakiwa kukubali kuwa Dk Nchimbi anauzoefu mkubwa wa siasa za bongo.
Tangia akiwa Uvccm miaka ya nyuma alikuwa anauwezo wa kuwasilisha mada na akashawishi umma. Na ndio maana...
Na kwa unafiki wa kiwango cha juu sana, kila wakijaribu kuonyesha wana majonzi na huzuni kufuatia kifo cha Kadinali Polycarp Pengo, facial expressions zao zinakataa kushow up, lakini pia body...
Wanabodi
Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election. https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x
Japo hakuna ubishi...
Anawasema maaskofu wenyewe wapo yeye yuko wapi na uchawa wake.
Sasa yuko huko motoni na majini yake. Amani yetu imekufikisha wapi wakina Samia ndiyo wamekuondoa wa kwanza na uchawa wako.
Pia...
Usiku wa kuamkia Machi 1, ndipo zilisikika habari za kifo cha Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Hossein Khamenei, kufuatia mashambulio ya majeshi ya Marekani na Israel yaliyoanza Februari 28...
Demokrasia na haki inaanzia majumbani kwenye ngazi ya famila, inalelewa mashuleni, inakomalia vyuoni na kuanza kutumika Ikulu, taasisi za serikali, mahakamani na bungeni.
Juzi niligombana sana na...
Mahakama ina mamlaka ya kuondoa kesk pale inapoona hakuna mashiko ya kiushahidi.
Leo hii mnalazimisha kusema kuwa watu mil 60 walioangalia video ya Lissu walihamasika kukinukisha na mahakama...
Waziri Mkuu ana mipasho kama mdada wa buza , huyo ndio kiongozi tena mkubwa tu mmetuletea CCM , kama anahitaji kupendwa na mkewe si aende akaendeleze mapenzi naye na aachie ofisi ya umma maana...
Mambo yote ambayo wapinzani na watanzania wanalalamikia serikali naona Nchimbi naye anasema ni mambo ya kijinga yanayofanywa na serikali yake na Mama wetu fake. Sasa je nchimbi ni mnafiki tu au...
GT
Huu ni ushauri wa bure tu hauna gharama yoyote. TEC mara zote hushauri mambo mema huku wakiwa hawana tamaa na maslahi binafsi.
Kitendo cha Samia kuwapuuza hawa jamaa kitamtesa milele hadi...
Haya matamko ya polisi Musoma kuwa wanazuia maazidhimisho ya chadema ya Siku ya wanawake duniani, italeta mauaji kama ya October 29,2025.
Tunayasema haya wenye mamlaka wazuie POLISI kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.