Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo...
3 Reactions
24 Replies
448 Views
Kama utaki utajiju
2 Reactions
2 Replies
176 Views
Wakili Mwabukusi amesema serikali ya Tanzania haina dini lakini raia wake wana dini, akisisitiza dini ndiyo siagi ya siasa na huwezi kutenganisha siasa na dini kwani dini ndiyo hutoa maadili. Pia...
0 Reactions
1 Replies
178 Views
  • Redirect
Jana analejelo kuwa kilichowapata kaka zao na dada zao hawawezi kuthubutu kuandamana. Na mijitu mitanganyika inapiga makofi. Mnajenga visasi, mtafikiwa vizazi vyenu hata kama hampo! Watu...
3 Reactions
– Replies
– Views
Bakari Machumu - Mkurugenzi Mtendaji Mwanachi Communication Limited Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimekaa nikajiuliza nini kitatokea watu wakaanza kujiundia na kupeperusha bendera ya Tanganyika Nchi nzima. CCM itawakamata, itazishusha na kuzichoma? Kitu cha kustaajabisha sijawahi kuiona...
2 Reactions
7 Replies
377 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana...
1 Reactions
12 Replies
427 Views
Wanabodi salaam. Enzi zake Colonel Muammar Ghadafi alitamba , Ghadafi aliogopeka na alitisha hasaa hususan miongoni mwa raia aliokuwa akiwaongoza. Mataifa ya magharibu yalijaribu mara kadhaa...
51 Reactions
205 Replies
22K Views
Patrobas Katambi naibu waziri na mbunge wa Shinyanga Mjini amejikuta hivi karibuni katika aibu kubwa baada ya kuitisha mkutano wa hadhara na watu kutotokea. Katambi ambaye inafahamika aliingia...
8 Reactions
49 Replies
7K Views
Kuna chaka ambalo linataka kutumika katika maridhiano la kumuahidi Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu Tundu Lissu kama sehemu ya kumpoza na kurudisha imani ya Jumuiya ya Kimataifa ambayo kwa kika...
8 Reactions
15 Replies
586 Views
Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
WANU HAFIDH AMEIR MGOMBEA SAHIHI JIMBO LA MAKUNDUCHI, ZANZIBAR Wananchi wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar wameonyesha kufurahishwa kumpata Mhe. Wanu...
3 Reactions
8 Replies
733 Views
Wana JF, MUNGU alipomuumba Mwanadam alimpatia uwezo wa kufikiri na uelewakwa kadri apendavyo. Ni nadra sana kwa wanafunzi ama watu wawili kuwa na uelewaulio sawa. Aghalabu hoja moja inaweza...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu...
4 Reactions
5 Replies
266 Views
Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi? Trump, Rais wa Marekani...
2 Reactions
6 Replies
236 Views
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Kilimo David Silinde (Mb), ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya Umwagiliaji ikiwemo ujenzi wa Bwawa la Nyida lililopo mkoani...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
  • Redirect
Ushindi wa kushindo wa kiongozi muuwaji duniani kuna tupa picha juu ya ulaghai wake na kwamba yeye si rais amejipachika madaraka kwa kuuwa. Mawe yatapiga kelele amewekwa madarakani kwa mapenzi ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
5 Reactions
10 Replies
342 Views
" Tundu Lissu hajakamatwa kisheria, amekamatwa kinyume cha sheria, ameshatgakiwa kinyume cha sheria na mashataka yake yapo kinyume cha sheria. Lazima tujifunze kukataa tutazoesha watu wanakukamata...
4 Reactions
7 Replies
280 Views
  • Redirect
Samia anaendelea kuweka rekodi Duniani. Katika shindano la kuwashindanisha marais wote Duniani iikumpata Rais Katili na mgandamizaji zaidi Duniani, kuliko mwingine yeyote, Samia ameibuka Kidedea...
0 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…